Zion Daughter, nimekumiss shemeji, baada ya kusema hayo, hapa tunajadili madodoso mbadala ya sensa, muda si mrefu mimi na mtoto Paloma tutaenda BK kufanya sensa...kwani mnadiskasheni nini hapa?!
roho inakuuma eee ??? nshomile mwenzio mwambie atulie naweza mfikiria
Mie mzima ndugu yangu.Hata mimi nimekumisi kaka yangu mpole.Bila shaka geti tugeza ijayo tutaonana...
hahahahhahah! noted!!hahahaha. Read btn the lines
mwisho 39 hakyamungu sikupataji mpaka upige mwenyewe
senene si dili supermaket mpaka bus station wanauzwa jero tu
Unadhani na naniliuuuuuuu utaipata tendi?
Lazima utarudi tuuuu!
Hahahahahaha hiyo ni tigo!
voda ndio inakuwa hewani muda mwingi si unayo?
Kazi ya kumwaga niachie
Weeee, kuja kuchinjwa najiona sitaki. Nasikia huko kwenu ukithubutu kudate na wa mtu tu, umafia unahusu sana
umeona eeh...come zis way...
Mambo yanakwenda poa kabisa...msalimu uncle
ha ha sirudiii ng'oooooo voda sina bwana mpaka nataka kuumwa tena ili unipigie nisikie sauti yako
Tofauti zake nini?unawezakuwa MMU maudhui yake yakawa ya ki-CC na ukawa CC maudhui yake yakawa ya ki-MMU!kwahiyo angalia kwakutumia jicho la ziada!
Weeee, kuja kuchinjwa najiona sitaki. Nasikia huko kwenu ukithubutu kudate na wa mtu tu, umafia unahusu sana
Huku kwetu ukidate na wa mtu unapewa nishani.................. we kuja pande hii utaona raha yake