Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

nimekukabidhi moyo wangu ujue.Tulilinde penzi letu mbele tusonge KakaKiiza mimi n wewe miaka mia wwadada wa cc mkae kushoto kuanzia jana natembea na machine gun. Remmy dada amu ni kampuni amu wa hapa si amu wa mmu
 
Last edited by a moderator:
nimekukabidhi moyo wangu ujue.Tulilinde penzi letu mbele tusonge KakaKiiza mimi n wewe miaka mia wwadada wa cc mkae kushoto kuanzia jana natembea na machine gun. Remmy dada amu ni kampuni amu wa hapa si amu wa mmu
Watu eheeeeeeeeeeeeeeee!!!watu People hatimaye ushindi kwangu!! Nivea naomba unisamehe kwahili ni maamuzi magumu nimeamua kuchukua baada ya wewe kuwa mkaidi!! Kipaji Halisi ni matumaini yangu hautajisogeza tena! watu8 najua wewe utaendelea kuangalia meli inapita kalagabao!meli ya sumu hawawaziagi!! amu karibu sana jisikie huko huru mastress uliyoyapata huko yateme getini njoo kwenye raha yenye tende na harua!!Nakupendaga sana!
 
Last edited by a moderator:
NAKUPENDAGA PIA:A S-heart-2:
 

Kaka Hongera!
 
Last edited by a moderator:
naona umesahau ile mada iliyotutoa jasho aisee .utakapotupiliwa kule na thread juu ndio utaitafuta corner ya zanaki /bibititi iko wapi?
 
ina maana ndio umeniacha hivo???????
 
Gambling hahahahha nimekuachia kiti cha daladala ukae bidada mie nimeshukia hapa fire.
Wewe shuka lakini yeye anafika nacho Posta na atakayemuona atajua kaanzanayo kiluvya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…