Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

Ulikuwa wapi mumy?
Nilikumiss sana aisee!
Karibu sana Paloma !

waaooooo!!! asante broda!!!! nilikuwa nanunua strawberry lips kwa ajili ya weekend..............
dgbb577c.jpg
 
Nivea ha ha nimefurahi kujua kuwa kila napotua nawe unapita ha ha ha halafu usimtishe my sweety
 
Last edited by a moderator:
Siyo mkono tu hata kidole hadondoshi ukuje ile sehemu baasi nakuonea huruma utasubirijeeeeeee!!!!!!!
Unaguna nini... Kwenye msafara wa Simba hatukosi fisi... KakaKiiza akidondosha mkono fisi tunauchukua na kukimbia nao..
 
Back
Top Bottom