Amu yawezekana nikakubadilishia uelekeo???

nimekukabidhi moyo wangu ujue.Tulilinde penzi letu mbele tusonge KakaKiiza mimi n wewe miaka mia wwadada wa cc mkae kushoto kuanzia jana natembea na machine gun. Remmy dada amu ni kampuni amu wa hapa si amu wa mmu
...duh kumbe una miliki silaha. amu wa cc na amu wa mmu...mh?
Watu eheeeeeeeeeeeeeeee!!!watu People hatimaye ushindi kwangu!! Nivea naomba unisamehe kwahili ni maamuzi magumu nimeamua kuchukua baada ya wewe kuwa mkaidi!! Kipaji Halisi ni matumaini yangu hautajisogeza tena! watu8 najua wewe utaendelea kuangalia meli inapita kalagabao!meli ya sumu hawawaziagi!! amu karibu sana jisikie huko huru mastress uliyoyapata huko yateme getini njoo kwenye raha yenye tende na harua!!Nakupendaga sana!
..siwezi kujisogeza huko naogopa manundu
Teh chenga la macho!
..hahahahahahahaha@Paloma umesikia hii..umewaacha wanaume NJIA PANDA
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni intaneshno obzevanti wa masuala yote ya ndoa....
Kwa kuwa mwenyekiti yupo safari ya kikazi kwenye seva za JF, basi nawapa go ahedi, muendelee na taratibu zinazofuata.

cc: amu, Baba V, gfsonwin.

Watu eheeeeeeeeeeeeeeee!!!watu People hatimaye ushindi kwangu!! Nivea naomba unisamehe kwahili ni maamuzi magumu nimeamua kuchukua baada ya wewe kuwa mkaidi!! Kipaji Halisi ni matumaini yangu hautajisogeza tena! watu8 najua wewe utaendelea kuangalia meli inapita kalagabao!meli ya sumu hawawaziagi!! amu karibu sana jisikie huko huru mastress uliyoyapata huko yateme getini njoo kwenye raha yenye tende na harua!!Nakupendaga sana!
 
Last edited by a moderator:
mmh!!! karibu lunch

naona umesahau ile mada iliyotutoa jasho aisee .utakapotupiliwa kule na thread juu ndio utaitafuta corner ya zanaki /bibititi iko wapi?
 
Watu eheeeeeeeeeeeeeeee!!!watu People hatimaye ushindi kwangu!! Nivea naomba unisamehe kwahili ni maamuzi magumu nimeamua kuchukua baada ya wewe kuwa mkaidi!! Kipaji Halisi ni matumaini yangu hautajisogeza tena! watu8 najua wewe utaendelea kuangalia meli inapita kalagabao!meli ya sumu hawawaziagi!! amu karibu sana jisikie huko huru mastress uliyoyapata huko yateme getini njoo kwenye raha yenye tende na harua!!Nakupendaga sana!
KakaKiiza nimetafakazi nimekubali matokeo,come this way
Adios amigo, adios my KakaKiiza
The road we have travelled has come to an end
When two love the same love, one love has to lose
And it's you who she longs for, it's you she will choose
Adios compadre, let me shed no tears
May all your mañanas bring joy through the years
away from these memories my life i must spend
adios amigo adios my KakaKiiza.

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom