Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,366
...duh kumbe una miliki silaha. amu wa cc na amu wa mmu...mh?
..siwezi kujisogeza huko naogopa manunduWatu eheeeeeeeeeeeeeeee!!!watu People hatimaye ushindi kwangu!! Nivea naomba unisamehe kwahili ni maamuzi magumu nimeamua kuchukua baada ya wewe kuwa mkaidi!! Kipaji Halisi ni matumaini yangu hautajisogeza tena! watu8 najua wewe utaendelea kuangalia meli inapita kalagabao!meli ya sumu hawawaziagi!! amu karibu sana jisikie huko huru mastress uliyoyapata huko yateme getini njoo kwenye raha yenye tende na harua!!Nakupendaga sana!
..hahahahahahahaha@Paloma umesikia hii..umewaacha wanaume NJIA PANDATeh chenga la macho!
Watu eheeeeeeeeeeeeeeee!!!watu People hatimaye ushindi kwangu!! Nivea naomba unisamehe kwahili ni maamuzi magumu nimeamua kuchukua baada ya wewe kuwa mkaidi!! Kipaji Halisi ni matumaini yangu hautajisogeza tena! watu8 najua wewe utaendelea kuangalia meli inapita kalagabao!meli ya sumu hawawaziagi!! amu karibu sana jisikie huko huru mastress uliyoyapata huko yateme getini njoo kwenye raha yenye tende na harua!!Nakupendaga sana!
naona umesahau ile mada iliyotutoa jasho aisee .utakapotupiliwa kule na thread juu ndio utaitafuta corner ya zanaki /bibititi iko wapi?
Hiyo CC!!
mhhhhh
Unakribishwa kwenye supu ya 12!!lol:A S shade:
si uliniambiaga mwanamke haachwi ila anapunguziwa mawasiliano!!! jibu ndio au hapanaHapana hapa nimefata certification ili niweze kuwa raia wa TZ!
si uliniambiaga mwanamke haachwi ila anapunguziwa mawasiliano!!! jibu ndio au hapana
na bahati haiji mara mbili...Anapoteza bahati eeh
KakaKiiza nimetafakazi nimekubali matokeo,come this wayWatu eheeeeeeeeeeeeeeee!!!watu People hatimaye ushindi kwangu!! Nivea naomba unisamehe kwahili ni maamuzi magumu nimeamua kuchukua baada ya wewe kuwa mkaidi!! Kipaji Halisi ni matumaini yangu hautajisogeza tena! watu8 najua wewe utaendelea kuangalia meli inapita kalagabao!meli ya sumu hawawaziagi!! amu karibu sana jisikie huko huru mastress uliyoyapata huko yateme getini njoo kwenye raha yenye tende na harua!!Nakupendaga sana!
Mbona hukuja Paloma ?
..umeeona eh..mie nimesubiri simu weeh holaa. Paloma njoo ujibu..
na bahati haiji mara mbili...