Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Mashoga yanatetea haki zao mna haki gani nyie hapa duniani.
Culture Me jiwe angavu FURUSHI LA CHANJO Poker

mzee hana kosa hata kidogo maana dini zote zimetoa amri ya kifo kwa atakayethibitika kwamba ni shoga, tena kwa dharau akaja kumtambulisha babake huo ufirauni.
Kwahyo unaona kumua binaadamu mwenzako ni sawa? Watu tunatetea haki ya huyo mtoto aliyeuwawa kwasababu naye alikuwa na haki ya kuishi kama wewe.
 
Waovu hawakosi kisingizio.
Mtoto akivuka mipaka anatakiwa auawe.
Kisha Baba tafuta mtoto mwingine.

Ushoga ni matokeo ya kufeli Kwa malezi Kwa wazazi hakuna uhusiano wowote na Social media.
Kipindi cha Sodoma na Gomora kulikuwa na mitandao ya kijamii au utandawazi?
"Ushoga ni matokeo ya kufeli kwa malezi"

Kwanini wewe mzazi usijiue wewe kwanza maana makosa ni yako. Wewe ndio mlezi wa mtoto wako.
 
Kwahyo unaona kumua binaadamu mwenzako ni sawa? Watu tunatetea haki ya huyo mtoto aliyeuwawa kwasababu naye alikuwa na haki ya kuishi kama wewe.
Mnoooo,
Wakitoka hapo wanaenda kanisani kulia wasamehewe dhambi wakati mikono yao inanuka damu
 
Ndio sio maadili ya kiafrika wala dini haziruhusu. Sasa niambie kwanini amue mtoto kisa kaleta mpenzi wake nyumbani? Huoni kama kila mtu atajicjukulia sheria mkononi tutafika kweli?
Kuoana wanaume kwa wanaume ndo tutafka????
 
Mashoga yanatetea haki zao mna haki gani nyie hapa duniani.
Culture Me jiwe angavu FURUSHI LA CHANJO Poker

mzee hana kosa hata kidogo maana dini zote zimetoa amri ya kifo kwa atakayethibitika kwamba ni shoga, tena kwa dharau akaja kumtambulisha babake huo ufirauni.
Kwanini uulize wenzio wana Haki gani Duniani wakati wote tumezaliwa na wote tunavuta pumzi na wote tutakufa,

Hivi hizo akili zenu hua ni za kupigia punyeto tu haziwazi mambo ya msingi
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa ndola huko Zambia amemua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.

Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.

Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo ambako anaishi mafichoni.

Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibinaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.

Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.

Na haswa upande wa hisia za watu. Kuua mtu sio suluhisho la kutatua tatizo tuangalie njia bora sisi kama walezi na wazazi.
Haki za binadamu nyokooo....Nyokochinyoko...to hell with homosexual
 
Kuoana wanaume kwa wanaume ndo tutafka????
Kama wameamua kuoana wao kwa wao na wamependana basi kama mzazi ni kunawa mikono kama huungi hivyo vitendo vyao na kuwaacha kwa maana mwisho wa siku kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe. Lakini kuutoa uhai wa mtu kisa ni shoga sio sawa. Kwa maana basi hiyo hata mzinzi mtasema auwawe.
 
"Ushoga ni matokeo ya kufeli kwa malezi"

Kwanini wewe mzazi usijiue wewe kwanza maana makosa ni yako. Wewe ndio mlezi wa mtoto wako.

Nijiue kisa umekuwa shoga?
Kuua shoga ni amri za Mungu sio Omni wala haihitaji maoni ya Mwanamke kahaba au mwanaume shoga kujadiliana na Jambo Hilo.

Shoga ni Kupiga Shaba.
Hiyo Mzee alichofanya ni Jambo la kiungu.
Hata ingekuwa ni Mimi ningefanya vivyohivyo.

Haiwezekani mtoto alete Dharau mpaka nyumbani alafu Baba mzima unamchekea.

Alafu elewa kuwa akili za Sisi wanaume halisi haziwezi kufanana kamwe na akili zenu ninyi wanawake au wanaume wenye ushoga.

Sio ajabu wewe ukawaza Kwa namna ya kijinga Kama ya huyo aliyeuawa
 
Kama wameamua kuoana wao kwa wao na wamependana basi kama mzazi ni kunawa mikono kama huungi hivyo vitendo vyao na kuwaacha kwa maana mwisho wa siku kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe. Lakini kuutoa uhai wa mtu kisa ni shoga sio sawa. Kwa maana basi hiyo hata mzinzi mtasema auwawe.
We jamaa mbona unakazana kuyatetea haya majitu? Dunia nzima tukiamua kuteketeza ushoga ni kuyaua tu kama ambavyo Mungu alifanya kule sodoma....Tuige mfano kutoka kwa boss mwenye dunia yake.
 
Nijiue kisa umekuwa shoga?
Kuua shoga ni amri za Mungu sio Omni wala haihitaji maoni ya Mwanamke kahaba au mwanaume shoga kujadiliana na Jambo Hilo.

Shoga ni Kupiga Shaba.
Hiyo Mzee alichofanya ni Jambo la kiungu.
Hata ingekuwa ni Mimi ningefanya vivyohivyo.

Haiwezekani mtoto alete Dharau mpaka nyumbani alafu Baba mzima unamchekea.

Alafu elewa kuwa akili za Sisi wanaume halisi haziwezi kufanana kamwe na akili zenu ninyi wanawake au wanaume wenye ushoga.

Sio ajabu wewe ukawaza Kwa namna ya kijinga Kama ya huyo aliyeuawa
Tafuta hela BLOOO
 
We jamaa mbona unakazana kuyatetea haya majitu? Dunia nzima tukiamua kuteketeza ushoga ni kuyaua tu kama ambavyo Mungu alifanya kule sodoma....Tuige mfano kutoka kwa boss mwenye dunia yake.
Anza kuwaua tuige mfano wako
 
Back
Top Bottom