FURUSHI LA CHANJO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 874
- 1,080
Halafu kwenye zile nyuzi za maskhara huwa ni mabingwa wa kufagilia ulaji wa tigo.Haishangazi,
Mnaosapoti ndio mnaoua Albinos, mnaowatelekeza Wake zenu kwa kuzaa watoto walemavu, mnaotoa pesa kwa mabinti wakazichoropoe Mimba mlizowapa,
Kiufupi Mijanaume ya Kiafrika wengi wao ni Makatili, Washenzi na wasio wastaarabu, hii ngozi ilipaswa ipotee mapema, ni aibu kuendelea kua kwenye Dunia iliyostaarabika halafu kuna Watu wana Mawazo ya karne ya tatu.
Ni aibu sana.