Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Halafu kuna mijitu inatetea eti haki za binadamu huyo mtoto hana nidhamu kabisa tena amekosa adabu, kwahiyo nyie watetezi mlitaka baba yake amfanyie party ya kumpongeza eti??Kweli kua na huo ushenzi ni swala la mtoto binafsi ila kumleta et uyo mpuuzi wake hadi nyumbani tena Baba ambae ni kiongozi wa familia upo, apo alijichanganya sana, alipaswa yeye angemchukua mtu wake wakaenda mbali uko wakaendeleza ujinga wao bila kuattach familia yake hasa mzazi wa kiume, kwanza kumuua kwa sumu alitumia ustaraabu sana.