Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Watetezi wa mapenzi wa jinsia moja hutafuta viupenyo ili tu waonewe huruma!!! Kwetu tumesema hapana.....! wabaki kwenye kada lenye kufungamana na mambo hayo.... KWETU SISI NI HAPANA
 
Maskini mna tabu sana walai, mnashindwa kupambana na Viongozi wenu wanaowanyonya kila siku, mnapambana na Mashoga,

Ndio maana nawaambia hamfai kuishi kwenye Dunia ya Watu waliostaarabika, nyie mlipaswa mpotee kwenye karne ya 3 huko, hii karne ya 21 sio yenu,

Wenzenu wanajiandaa kwenda kuishi Mars nyie mpo busy kunusa nusa mikundu ya Mashoga na kufatilia sijui nani Mchawi,

Umaskini ni Laana.
 
Mkuu hum ulikuwa na wenzio wawili saiz wamekukimbia umebak wew tu!! Huon kuwa mshafeli tayar ??
Watu wasifanye mambo ya maana wakae wanabishana kutwa nzima kuhusu Mikundu ya Mashoga [emoji1787]

Tafuta hela uache makasiriko
 
Muone na huyu,
Haya tukuulize wewe ngumbaru ushawahi kupiga na kuua Mashoga wangapi Nchini kwako,
Maana wamejaa tele na wanajionesha hadharani,

Nakukumbusha yaliyomtokea Makonda.
 
Kwahiyo kuzima uzao wa mwanadamu kwako unaona ni sawa?!

Kitu chochote ambacho ni tishio kwa uzao wa mwanadamu kama magonjwa, adui, au chochote kile kinapoingia katika maisha ya mwanadamu ni lazima kitokomezwe.
Unataka kusema Wagumba na Matasa wauwawe pia???
 
Kama ni wagonjwa ya Akili kwanini mnawafatilia?

Mgonjwa wa Akili anauliwa??
 
Halafu kuna mijitu inatetea eti haki za binadamu huyo mtoto hana nidhamu kabisa tena amekosa adabu, kwahiyo nyie watetezi mlitaka baba yake amfanyie party ya kumpongeza eti??
Mtoto alitaka baraka kutoka kwa Mzazi wake kama Mzazi alikua hataki si angemwambia aondoke tu,

Kumpa Sumu na yeye kuishi Porini kama Ngiri hiyo ni sawa??
 
Shangaa na wewe,
Yaani Mwanamke mwenye Pesa zake achukuliwe Mume aende akaue huyo Mwanamke for what? Lol

Akili za kimaskini huwaza visasi muda wote, tena anakutishia kabisa eti jaribu uone sijui mimi situmii ID Fake, lol [emoji1787]
 
Hata mimi ningekuua kwa mkono wangu mwenyewe! Huo ndiyo ubaba maana mwanaume anaingiza siyo kuingizwa. Cc Depal To yeye Demi Dinazarde cocastic
 
Huyo Shoga unayeuliza ana Faida gani kwenye Jamii yake na kwa Wazazi wake,

Kwanza amesoma baada ya kusoma amepata taaluma ambayo imempa Ajira au Kujiajiri kwa hiyo familia yake haiwezi kulala Njaa na Kodi ya Serikali analipa,

Faida au Hasara ya Binaadam anaijua muumba wake, kama aliona huyu kiumbe hana faida kwanini alikileta Duniani na tulishaambiwa Mungu anajua kila Tabia ya Mtu kuanzia anapomuumba sijui kumpa Roho,

Kama wewe huwezi kuumba hata jiwe basi huna mamlaka ya kumuhukumu mwengine hayo mambo yaache Mtu mwenyewe apambane na Mungu wake wewe endelea kutafuta pesa ili ukizeeka usije ukatelekezwa na wanao ukala ugali na chumvi.
 
Wewe mleta uzi siku ikitokea kwenye ukoo wenu akatokea shoga ndo utajua mzee alichokifanya kama ni sahihi.

Embu pata picha mtoto wa kiume anakuletea mpenzi wake wa kiume kujitambulisha? Kweli? Embu peleka uko ujinga wa haki za binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…