Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

mada ina watetezi wengi si wanawake si wanaume nawaona mnavyotetea kuliwa firigisi zenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mleta mada najua na ww ni wale wale ila nashukuru kwa kutuletea takwimu za wana JF wanaobutuliwa kisamvu cha kopo
 
MAMBO YA WALAWI
Mlango 20
13. Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Mkuu enzi hizo torati ilikua kali na ngumu, hiyo ilikua ni kifo cha kusafisha uchafu kama huo, utofauti ni vipindi tyu kizazi cha musa na chetu saiz, saiz neema imetuokoa
 
Siku hizi mko wengi na mmeanza kujiweka hadharani.

Mnajificha kwenye kivuli Cha haki za binadamu kulazimisha uharamu wenu uwe halali. Mapenzi ya jinsia Moja lazima yapingwe kwa nguvu zote ingawa mzee aliyeua kafika mbali sana.
Although siungi mkono hayo mambo, lakin hii kauli kuwa unalizimishwa ni hoax.
Haya mambo mtu alazamishwi, ni mtu mwenyewe ana peek haya mambo kutoka kwa jamii inayomzunguka.
 
Hata mimi huwa nawaza hivo tu, nikija kupata mtoto wa kiume kisha awe shoga namuua tu, Ila nitatafuta namna nzuri ya kumuua ambayo sitajulikana kama ni mimi ndo nimeua...
Kuua is not easy task, movie zisikudanganye. Out come yake si nzur kwa muuaji. Even mwanzoni uyajiona kama umeshinda
 
Vipi kama huyo shoga hamuamini mungu wako?
Utamlazimisha??
 
Kwa nini unawachukia mashoga kiasi hicho?
Walikufanyaje??
 
Mtoto akishakuwa mtu mzima wewe mzazi huna mamlaka naye tena. Anafanya vyovyote anavojisikia na anadhibitiwa kwa sheria za nchi tu.
Labda kama hauna mtoto wa kiume Ndio unalopoka ujinga, mtoto ambaye ninapambana Kwa jasho aje atengeneze kizazi chake kilichobora kwa kutumia jasho langu yeye alete upumbavu huo
 
Mbona unaweza kuhangaika kukuza mtoto wa kiume akaja kuwa muuza unga, mtu asiyejulikana, askari anayebambika kesi au fisadi wa mali za umma na ukapokea na pesa zake kabisa??!
Unaongelea haki za binadam?!
Yani unahangaika kukuza mtoto wa kiume aje kua mke wa mtu!
Acheni dingi ale zake kipupwe Congo.
 
Denmark, New Zealand, Finland, Singapore na Sweden hakuna adhabu ya kifo kwa kula Rushwa ila zina viwango vidogo vya Rushwa kuliko hata hiyo China.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…