Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Muumba wake kwa nini hakumzuia kuwa shoga??
Huyo muumba wake amekupa wewe hiyo kazi ya kumpelekea watu?
Vipi mwingine huko Somalia au Afghanistan akisema anampelekeq muumba wake watu wanaozini au kufanya mapenzi kabla ya ndoa??
Vipi wanaojitoa mhanga huko duniani kwa ajili ya muumba wao??!
Yuko sahihi hata hao wasomalia na waafuganistani. Wako sahihi.
Huyo muumba wake hakumzaa yeye, wala hakumlea yeye.
Muumba wake alimpa majukumu mzazi/Baba hivyo ni Haki yake.
Mbona wewe ukibaka muumba wako Haji kukuadhibu unaadhibiwa na Mahakama?
Mkiongea vitu ongeeni Kwa logic