Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Hahahahahaha sio kwa povu hilo,
Umekula kweli isije kua njaa!!!

Hebu kula Chapati na Rosti ushushie na Maziwa Fresh uondoe hiyo sumu iliyopo mwilini mwako, [emoji1787]

Unaacha kutafuta hela unanusa mikundu ya Shoga wewe ni Maskini wa Mwili, Roho na Fikra,

Ukweli mchungu huu,

Pia acha ulimbukeni wa ID fake na Og fyoko fyoko binafsi mimi picha zangu zipo humu sina Mtu wa kumuogopa wala kumuhofia lakini pia siwezi wabeza wasiopenda kuji expose ndio maana forum ikatutaka tutumie ID Fake, hebu acha kujichoresha na kujidhalilisha.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haya nenda kayauwe si yapo hapo mtaani kwako..natarajia kupata taarifa ya habari kuwa umeanza oparesheni kabambe ya kuua machoko.

Hivi huyo choko akitinduliwa mtaro wewe kinachokuuma nini hasa.?

#MaendeleoHayanaChama
Mi nimezungumzia mwanangu, hao wengine hawanihusu, hata mtaa huu mzima wawe machoko hiyo hainihusu....ila mwanangu akiwa choko lazima nifanye kama huyu mzee...nashauri na nyinyi huko kwenye familia zenu kukitokea mishoga iueni tu maana inaaibisha ukoo.
 
Huyo Shoga unayeuliza ana Faida gani kwenye Jamii yake na kwa Wazazi wake,

Kwanza amesoma baada ya kusoma amepata taaluma ambayo imempa Ajira au Kujiajiri kwa hiyo familia yake haiwezi kulala Njaa na Kodi ya Serikali analipa,

Faida au Hasara ya Binaadam anaijua muumba wake, kama aliona huyu kiumbe hana faida kwanini alikileta Duniani na tulishaambiwa Mungu anajua kila Tabia ya Mtu kuanzia anapomuumba sijui kumpa Roho,

Kama wewe huwezi kuumba hata jiwe basi huna mamlaka ya kumuhukumu mwengine hayo mambo yaache Mtu mwenyewe apambane na Mungu wake wewe endelea kutafuta pesa ili ukizeeka usije ukatelekezwa na wanao ukala ugali na chumvi.
Huyo Muumba unayemsema alipoona hawana faida aliwateketeza Kwa moto, sijui unaelewa ilivyochukizo kwake Kwa kiwango Gani, na akasema ikitokea Kwenye jamii yako sharti wauwe kwani hawana faida yote yote, wewe unaongelea sijui ajira sijui kujiajiri wakat Mungu lengo na kusudi lake ni kuijaza Dunia kwa kuzaliana
 
Huyo Muumba unayemsema alipoona hawana faida aliwateketeza Kwa moto, sijui unaelewa ilivyochukizo kwake Kwa kiwango Gani, na akasema ikitokea Kwenye jamii yako sharti wauwe kwani hawana faida yote yote, wewe unaongelea sijui ajira sijui kujiajiri wakat Mungu lengo na kusudi lake ni kuijaza Dunia kwa kuzaliana
Kama aliwateketeza mbona bado wapo sasa?
 
Si bure kuna jambo lilikutokea ulipochukua Mke wa Mtu[emoji2960]

Ila Pole huyo aliyekufanya vibaya ni mjinga mmoja tu sio wote wana akili kama zake, kwa hiyo relaaaaaaaaaax

Kutoka 20:12
Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.

Hicho kielimu chako kisikufanye ukawa limbukeni kudandia tamaduni za kishenzi ambazo hata Baba au mama Yako akisikia utamfadhaisha.

Kama haujali heshima yako basi Linda basi heshima ya Wazazi wako waliokuzaa.
Kuhusu heshima ya aliyekuumba naamini kabisa haipo na haumuamini.
Basi Linda heshima ya Wazazi wako.

Kama huwajali pia hao wazazi wako. Basi waangalie watoto wako.

Unachokitetea na kukifanya kitakufanya siku moja ujute.

Ukitaka ujue kile unachokitetea ni kizuri au Kibaya.
Nenda kaongee na wazazi wako waliokuzaa na kukulea Kwa mapenzi yote, wanaokutakia mafanikio na maisha mazuri ndio maana walikusomesha. Uone response Yao ikoje.
Ninaamini Baba yako ataongea Kama Mimi lakini yeye ataongea Kwa uchungu zaidi kwani atakuonea huruma na kuona umepotoka

Haukusomeshwa uje utetee tamaduni za kishenzi, haukusomeshwa ili uwe na mtazamo huo.
Bali ulisomeshwa ili uwe mtu Bora na Mama wa kuzalisha kizazi Bora Kwa ajili ya taifa hili.

Jitafakari
 
Mtoto akishakuwa mtu mzima wewe mzazi huna mamlaka naye tena. Anafanya vyovyote anavojisikia na anadhibitiwa kwa sheria za nchi tu.
Nani kasema? Kama ndivyo si angeenda kumtambulisha huyo mchumba wake serikali za mtaa Kwa sababu hayupo chini ya mzazi Yuko chini ya serikali
 
Hujawahi kusikia binadamu mwenye jinsia mbili?
Shule za Kata haziwezi kuwafundisha haya mambo.

Yeye kazaliwa kakuta watu wanavaa sketi na suruali. Wanaovaa suruali wanaitwa wanaume, na wanaovaa sketi wanaitwa wanawake.

Hajui wapo wanaovaa sketi wana madushe makubwa waliyozaliwa nayo.

Akijichanganya amekwisha.

ELIMU ELIMU ELIMU.
 
Kwani wajukuu ni lazima mbona mnakua na akili mgando..yani kwa akili zako bora toto liwe jambazi kibaka liuaji ila lisiwe choko.

#MaendeleoHayanaChama
Bora liwe jambazi sio shoga, shoga ni laana, nani anataka laana katika familia yake
 
Kitabu gani kinasema Mungu aliwapiga kibereti kwa sababu ya mambo ya ushoga na sio kwa sababu ya dhambi zingine?
Leta mstari au aya ya maandiko yako inayosema hivyo.
Mkuu hujasoma mambo ya sodoma na gomola mpaka mimi nilete mstari au aya hapa? Kama una hata mtoto muulize atakwambia sababu ni nini
 
Hata kama hupendi machoko ndio uwauwe..hivi hakunaga machoko yanao acha uchoko wao??

Sometimes every human being deserves a second chance.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom