Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nani alikuambia ushoga ni utamaduni wa jamii fulani pekee? Unarudia rudia sana huu utopolo na ujinga wako bila ushahidi wowote wa Historia.
Ushoga umekuwepo kwa Waarabu, Wazungu, Wahindi, Wachina, Waafrika weusi na jamii nyingine zote hata kabla hizo jamii hazijakutana au kuchanganyika. Walichofanya wazungu wengi ni kukubaliana nao tu
Wazungu walipopeleka dini yao Uganda walimkuta Kabaka Mwanga II akihisiwa ni shoga na hata inasemekana ndio sababu mojawapo ya kuwawua wamishenari wao 45 waliokuwa kinyume naye
Jifunze pia "Mudoko dako" ambayo ilikuwepo Uganda hata kabla ya wazungu kufika.

Kutoka 20:12
Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
Hicho kielimu chako kisikufanye ukawa limbukeni kudandia tamaduni za kishenzi ambazo hata Baba au mama Yako akisikia utamfadhaisha.
Kama haujali heshima yako basi Linda basi heshima ya Wazazi wako waliokuzaa.
Kuhusu heshima ya aliyekuumba naamini kabisa haipo na haumuamini.
Basi Linda heshima ya Wazazi wako.
Kama huwajali pia hao wazazi wako. Basi waangalie watoto wako.
Unachokitetea na kukifanya kitakufanya siku moja ujute.
Ukitaka ujue kile unachokitetea ni kizuri au Kibaya.
Nenda kaongee na wazazi wako waliokuzaa na kukulea Kwa mapenzi yote, wanaokutakia mafanikio na maisha mazuri ndio maana walikusomesha. Uone response Yao ikoje.
Ninaamini Baba yako ataongea Kama Mimi lakini yeye ataongea Kwa uchungu zaidi kwani atakuonea huruma na kuona umepotoka
Haukusomeshwa uje utetee tamaduni za kishenzi, haukusomeshwa ili uwe na mtazamo huo.
Bali ulisomeshwa ili uwe mtu Bora na Mama wa kuzalisha kizazi Bora Kwa ajili ya taifa hili.
Jitafakari