Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Astaghfirullah!
Unamaanisha watu wenye magonjwa ya akili kama vichaa, wenye mtindio wa ubongo na wale walioko Mirembe ni afadhali watoweshwe?
Siwezi kuruhusu mtoto wangu wa kiume kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja.
Siwezi kuruhusu kuchafuliwa kwa kizazi changu kwa huo uwesternization wa kijinga.
Daima nitasimamia maadili na desturi njema tu katika kizazi changu na watoto wangu.
Wewe @Porker nadhani kwa maneno hayo ushajua hatua ambazo ningechukua kwa wanaointertain such kind of stuffs in my chain of generation.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aibu sana.
Wengi wa wanaopayuka humu sio kwamba wanauchukia ushoga. Ni hasira tu za kukosa fedha na umasikini.
Unaweza kukuta ni njaa tu, mtu hajala toka asubuhi, akipata mahali pa kutoa uchungu basi anabwaga mitusi kweli kweli.
Tukitaka kutatua tatizo la ushoga kwa dhati, lazima kwanza watu wajadili wakiwa wameshiba chakula.
Huwezi kujadili hoja na mwenye njaa. Ni tatizo. Hupati majibu yenye mantiki zaidi ya hasira na mitusi.
Mungu atuepushe na hiliHata mimi huwa nawaza hivo tu, nikija kupata mtoto wa kiume kisha awe shoga namuua tu, Ila nitatafuta namna nzuri ya kumuua ambayo sitajulikana kama ni mimi ndo nimeua...
Pia si jambo la kawaida kidume kumpelekea moto mtoto wa kike mkunduni.
Kama tunataka kujifanya tunamjua sana Mungu na hilo pia tulitazame.
Hizi double standards zinatoka wapi?
Muumba wake kwa nini hakumzuia kuwa shoga??Acha kutetea ujinga, hata kama ni mimi bora nikaishi porini kuliko kuishi nikijua mtoto wangu ni shoga, hata ndugu yangu wa toka ni toke akiwa shoga jua nampeleka kwa muumba wake aisee
Damu ya shoga ipo juu yake mwenyewe , shoga anakuwa kamagwa damu yake mwenyewe
Walawi 20:13 BHN
Kama mwanamume yeyote akilala na mwanamume mwenzake kana kwamba ni mwanamke, basi, wote wawili ni lazima wauawe kwani wamefanya jambo lililo chukizo; watawajibika kwa umwagaji wa damu yao wenyewe.
Sio Mungu wetu. Bali Mungu Mkuu the almighty God.
Kwa watu wanaoendekeza ushoga huwaga situmii hoja.
Dini zote Duniani, tamaduni zote Duniani mashoga wanauawa.
Ila huyu Shetani ndio ameleta tamaduni mpya ambazo hata Shetani mwenyewe hawezi kuzifanya.
Wewe ni Dini gani ili nikujibu Kwa hoja za Dini yako?
Kama wewe ni mpagani pia ninaweza kukupa hoja za kipagani Kwa nini shoga anatakiwa kuuawa.
Ni vile bado nchi yetu haijapata viongozi makini
Ushoga ni chukizo kubwa kwa jamii hata kwa muumba. Ndiyo maana hata Mungu aliwapiga kiberiti watu wake sababu ya mambo ya ushoga na siyo kwa sababu ya dhambi zingine. Shoga anatakiwa kuuwawa.Muumba wake kwa nini hakumzuia kuwa shoga??
Huyo muumba wake amekupa wewe hiyo kazi ya kumpelekea watu?
Vipi mwingine huko Somalia au Afghanistan akisema anampelekeq muumba wake watu wanaozini au kufanya mapenzi kabla ya ndoa??
Vipi wanaojitoa mhanga huko duniani kwa ajili ya muumba wao??!
Kwa sababu haijatokea Kwa mtoto wangu.
Hao wengine hawanihusu.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa ndola huko Zambia amemua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.
Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.
Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo ambako anaishi mafichoni.
Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibinaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.
Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.
Na haswa upande wa hisia za watu. Kuua mtu sio suluhisho la kutatua tatizo tuangalie njia bora sisi kama walezi na wazazi.
Nimekupenda bure!Wewe mleta uzi siku ikitokea kwenye ukoo wenu akatokea shoga ndo utajua mzee alichokifanya kama ni sahihi.
Embu pata picha mtoto wa kiume anakuletea mpenzi wake wa kiume kujitambulisha? Kweli? Embu peleka uko ujinga wa haki za binadamu.
Maskini mna tabu sana walai, mnashindwa kupambana na Viongozi wenu wanaowanyonya kila siku, mnapambana na Mashoga,
Ndio maana nawaambia hamfai kuishi kwenye Dunia ya Watu waliostaarabika, nyie mlipaswa mpotee kwenye karne ya 3 huko, hii karne ya 21 sio yenu,
Wenzenu wanajiandaa kwenda kuishi Mars nyie mpo busy kunusa nusa mikundu ya Mashoga na kufatilia sijui nani Mchawi,
Umaskini ni Laana.
Na wanavyojiona wapo sahihi inashangaza zaidiHakika, double standards ni mojawapo ya jambo baya na ovu sana linaloharibu jamii kubwa ya mwanadamu.
Ukiwauliza "washika dini wauaji" kama vitabu vya dini vinakubali kufanya mapenzi kwa njia ya mdomo au Blowjob inaruhusiwa kidini, Kuutumia mdomo huo huo unaoimba kaswida au kwaya kwa blowjob ni sahihi watatoa macho na kubung'aa tu.
Hata wew mkuu ungejitokeza hadharani mbele za watu ndo ukaanza kutetea Kama unavyotetea saizi,watu wangekuwa washakuua mapema Sana!!! Kama unanibishia hebu jaribu kusimama hadharan utetee uone kitakachotokea
Kweli ni kinyume na sheria lakini kinaumiza sana na ni aibu kubwa sana kwa jamii, dawa ni kumzimisha tuKama hicho kitendo hakikuoendezi unamwita pembeni unamwambia kama mzazi na sio kumuua hiyo ni kinyume na sheria mkuu
kama lazima awe shoga basi ayafanyie huko sio kuleta hadi nyumbani kwa baba, kwa kweli bora hata usikie mtoto amekua lijambazi la hovyo huko mjini kuliko uambiwe analiwa nyuma, kama mzazi nitajutia sana na sitokaa nijisamehe, siku zote nitajihukumu kwamba nilikosea step kwenye malezi.
[emoji28] imagine ni mtoto wako, we imagine tu achana na hatua we imagine tu, na uzee wako mtoto wako wa kiume analeta mchumba wake wa kiume,... Bora wa kike we imagine tu, usinifokee[emoji23]..... Mzee kachukua maamuzi magumu sana, kuondoka hyo aibu[emoji1535]... Me simhukum Wala nn... Kuna watu wangeua vibaya zaid ya sum wakuu