Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Nature imebeba kila kitu haijaacha,
Ndio maana kuna Watu wanazaliwa wana Jinsi mbili,
Kuna wenye Ulemavu mbali mbali, kuna waliokamili,
Kuna Wagumba na Tasa, usi isingizie Nature kwani Nature haibagui,

Jamii yangu inahusika nini na mambo niyafanyayo chumbani kwangu? Wewe umemlamba uke mke wako Jamii yako inadhurika na nini?? Mkeo anakuchezea uume na kukulamba kinyeo chako Jamii yako inatetereka kwenye lipi? [emoji849]
Tusifanye uwe mdahalo wa kubishana kwa hoja maana sioni ulichotetea hapo ni umepiga tuu kelele
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa Ndola huko Zambia amemuua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.

Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivyo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.

Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo ambako anaishi mafichoni.

Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibinaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.

Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.

Na haswa upande wa hisia za watu. Kuua mtu sio suluhisho la kutatua tatizo tuangalie njia bora sisi kama walezi na wazazi.

Unamtetea mwenzako? Hata wew ungekuwa familia moja na mim alafu historia wangeisoma!
 
Ndio sio maadili ya kiafrika wala dini haziruhusu. Sasa niambie kwanini amue mtoto kisa kaleta mpenzi wake nyumbani? Huoni kama kila mtu atajicjukulia sheria mkononi tutafika kweli?
Mpenzi wake? Mkuu wewe nae choko kumbe...
 
Eti toto ls kiume linakuja nyumbani kutambulisha "mchumba", huku limebinua domo na mitako. Maniner!
 
Eti toto ls kiume linakuja nyumbani kutambulisha "mchumba", huku limebinua domo na mitako. Maniner!
Unajua ukichukulia poa poa huwezi kuelewa mazingira halisi!Ile nikemezama deep na kutafakari nikijiweka kwenye mazingira ya huyo mzee,aisee mi Naona hata kuchukua muda kuaandaa chakula na kuweka Sumu nisingekuwa nao!Sijui ningefanya Nini ila Mungu niepushe na mtihani wa namna hiyo!
 
Ndio maana huwezi kuwa polisi kwa sababu wewe ni chizi-maarifa-kiduchu.

Achilia mbali kuwa mkuu wa polisi, hata kuwa tu polisi wa hovyo hovyo huwezi kupata hiyo nafasi kwa sababu huna vigezo vya utulivu wa kiakili.

Utafyatulia watu bunduki barabarani.

Wewe utabaki tu huko chini kwa walamba vumbi siku zote.
Acha iwe hivyo nyie mashoga tumewachoka kabisa.... Mimi tena usije ukakatiza mbele yangu. Nitakuchana chana.
 
Wamatumbi kwa kujimwambafai
emoji1787.png

Kwa hiyo wewe ushakua Muarabu ngoja nikukumbushe wewe Kisai a.k.a Zurii,
Wewe ni Mmatumbi uliozaliwa katika Ardhi ya Tanzania, Babu na Bibi yako waliokuanzishia ukoo wako walikua Wamatumbi na ukoo umeendelezwa wa Kimatumbi, wewe sio Mzungu wala Muarabu wewe ni Mmatumbi wa Matumbi
emoji1787.png


Acha kujibebesha ukoo wa Kiarabu hali ya kua huna nasaba nao na wao wanakuona kama Nyani aliyepotea pori
emoji2960.png
Uarabu siyo Uislamu japo Mtume alikuwa Muarabu. Ndiyo maana Mtume aliwatuma watu watu kufikisha dini mpaka Habashi ambayo ni Ethiopia ya Leo, inaingia humo Baadhi ya nchi za Afrika Magharibi, kadhalika Afrika ya Mashariki walikuja watu kufikisha dini sababu hii dini ni kwa ajili ya watu wote. Awe mmatumbi au mkwere na asiye kuwa hao.
 
Wamatumbi kwa kujimwambafai [emoji1787]
Kwa hiyo wewe ushakua Muarabu ngoja nikukumbushe wewe Kisai a.k.a Zurii,
Wewe ni Mmatumbi uliozaliwa katika Ardhi ya Tanzania, Babu na Bibi yako waliokuanzishia ukoo wako walikua Wamatumbi na ukoo umeendelezwa wa Kimatumbi, wewe sio Mzungu wala Muarabu wewe ni Mmatumbi wa Matumbi [emoji1787]

Acha kujibebesha ukoo wa Kiarabu hali ya kua huna nasaba nao na wao wanakuona kama Nyani aliyepotea pori [emoji2960]
Kingine katika nilichokiandika hakuna nilipo jibebesha ukoo wa yeyote Bali najaribu kuwaonyesha haki mkitaka mtaichukia msipotaka mtaiacha.
 
Kwa kuwa ni wake wa kumzaa ndo anajua uchungu ...

Sema huu upuuzi unazidi , omba lisimkute mwanao
Yuko sahihi ata mimi either nifanye kama alivofanya au nimfute
 
Siingii kwenye mtego wa ku-argue na machoko, wafirwaji na wanaosuguana visimi.
FUTSEKE!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Machoko gani wakati wewe ndio kuu la machoko nchini?
 
Back
Top Bottom