Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa Ndola huko Zambia amemuua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.

Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivyo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.

Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo ambako anaishi mafichoni.

Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibinaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.

Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.

Na haswa upande wa hisia za watu. Kuua mtu sio suluhisho la kutatua tatizo tuangalie njia bora sisi kama walezi na wazazi.
Huyo ni mwanae unadhani kati yako na huyo dingi nani Ana uchungu wa kuondokewa na ndugu

Mbona mimba watu hutoa Acha na hiki kisicho ridhiki kitoke tu
 
Ndio sio maadili ya kiafrika wala dini haziruhusu. Sasa niambie kwanini amue mtoto kisa kaleta mpenzi wake nyumbani? Huoni kama kila mtu atajicjukulia sheria mkononi tutafika kweli?
Mtoto wake au wako shoga wewe!!?
 
Uarabu siyo Uislamu japo Mtume alikuwa Muarabu. Ndiyo maana Mtume aliwatuma watu watu kufikisha dini mpaka Habashi ambayo ni Ethiopia ya Leo, inaingia humo Baadhi ya nchi za Afrika Magharibi, kadhalika Afrika ya Mashariki walikuja watu kufikisha dini sababu hii dini ni kwa ajili ya watu wote. Awe mmatumbi au mkwere na asiye kuwa hao.
Halafu huyo mpaka leo hajui kama kuna “wamatumbi” wanawafundisha waarabu Dini?

Nimewakumbuka “Wamatumbi” Shaikh Muhammad Amaan al Jami na Shaikh Muhammad Adam al Ethiopi (Allah awarehemu).

Kwetu sisi Waislam elimu haina mwenyewe, elimu ina watu wake (na watu wake ni wale walioichukua).
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa Ndola huko Zambia amemuua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.

Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivyo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.

Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo ambako anaishi mafichoni.

Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibinaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.

Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.

Na haswa upande wa hisia za watu. Kuua mtu sio suluhisho la kutatua tatizo tuangalie njia bora sisi kama walezi na wazazi.
Eti watetez wa haki za binadam achen kumkufuru Mwenyez mungu
 
MAMBO YA WALAWI
Mlango 20
13. Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Amina
 
Hilo dume jike na hilo dume uchwara pamoja na wewe unaejifanya mtetezi wa haki za binaadamu nyote mnatenda mambo kinyume na maadili na kwa hakika kesho yenu ni mbaya sana, huyo aliyetekeleza mauaji ni sahihi kabisa maana ametukanwa na kudhalilishwa kwa kiwango cha juu sana, kwanza hata hivyo alikuwa mvumilivu sana, ingekuwa mimi ningeingìa ndani silaha yoyote ningetoka nayo ndiyo ingekuwa hatima yao. Hata hivyo natoa kongole kwa huyo baba Mwenyeezi Mungu amlinde.

Sent from my SM-A530N using JamiiForums mobile app
Ebu ni kuulize..mtu akiliwa kiboga..wewe kinacho kuuma nini?..mbona hulalamiki viboga vya wadada zako vinavyuliwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Suala la uasi sio suala la kukubaliana ni Amri.
Ndio maana tukasema miungu ipo mingi.

IPO miungu inayofirwa na kufirana hiyo ndio imeruhusu hayo Mambo Kwa watu wake.

Lakini Kwa Mungu na miungu mitakatifu huo uchafu adhabu yake ni kifo.
Nafikiri kila mtu abaki na familia yake Kama jinsi ilivyo.
Familia zinazoamua Mtoto wa kiume kufirana na Baba yake waache wafanye hivyo. Kwani ni maisha Yao.

Na Sisi yunaofuata amri za miungu watakatifu tutaua kadiri ya ukafiri utakavyojitokeza katika familia na koo zetu
Mungu yupi anayekuamlisha uwe mashoga..mana kama unaamini mungu wa wakristo..alishakataza kuua kupitia amri kumi na kristo akaja kula na kunywa na makahaba probably haya hao mashoga alikula na kunywa nao..na akamlisha kuwa amri ya jino kwa jino jicho kwa jicho..iwe upendo na amani kwawote na kuacha magugu yaote pamoja na ngano ila mwisho wasiku yatatenganishwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sheria zipo katika nchi yoyote inayofata Sheria hizo na kuzitekeleza.

Nchi yangu haifati Sheria hizo.

Bibie unachotakiwa ujue uijue haki na kuukubali, na ujue ubaya wa jambo husika, Sheria kufatwa au kutofatwa ni jambo lingine, ila Cha msingi ujue ya kuwa jambo hilo ni baya na Mola aliyekuumba wewe na sisi ameshaweka Sheria hiyo na ni hali, kwahiyo kama itafatwa ni jambo lingine na jambo la kheri.

Ila kaa ukijua hata ubinuke usagaji na ushoga haviwezi kuwa halali, kwa dini hata kiakili tu. Na ni kipimo cha uovu na upungufu wa akili, haiwezekani tupu ya kunyea ukaifanyia kazi ya tupu ya uzazi, kama si ukameme na uhayawani ni nini ?

Sipo hapa kuongelea habari za huyo Mzee, nipo hapa kubainisha haki na kuonyesha uovu na ubaya wa jambo lenu.
Mimi nadhani tukubaliane kutokukubaliana..kama ambavyo nguruwe ni haramu na huruhusiwi kula kwa imani yako na hivyo huwezi tu toka ulikotoka ukaenda kumuua nguruwe kwakuwa ni haramu...kwanini isiwe sawa kwa mashoga ambao ni haramu kuachwa nao waishi na uharamu wao.

Mana watu wanapinga ushoga ila kuhusu kutindua mikundugu ya wanawake zao hawaoni kuwa haramu..huu ni upuuzi mtupu.

Let them live their life kama wewe unavyoishi maisha yako..kama huwapendi keep them away hivyo tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Haiwezekani kwenu ila huko wanauliwa na wataendelea kuuliwa kijana. Watu hatutaki ujinga na ukameme.

Mnatueletea shida sana katika jamii, wajinga nyinyi. Allah awalaani nyote mnaofanya haya na kuyatetea kwa hali zake zote.
Wewe mbona mademu zako na dada zako wanatifuliwa tope na unachekelea..kwani mkundugu wa me na ke unatofauti..faller wewe.[emoji706]

#MaendeleoHayanaChama
 
Kitendo cha mtoto wa kiume kwenda kumtambulisha mchumba (shoga/basha) kwa baba yake ni kitendo kibaya sana.
Ukiona hivyo ujue malezi ya baba kwa mtoto ndio yana dosari..wababa wenye misimamo huwezi kuta huu upuuzi mtoto anafanya mbele ya wazazi wake.

Kwangu mimi mzee ndio tatizo..amemlea huyo mtoto vibaya.

#MaendeleoHayanaChama
 
KUUAWA NDIO STAHIKI YAKE. AMEFANYA SAHIHI... NA APONGEZWE KWA HATUA HIYO. NA AUNGWE MKONO.
 
Kwahyo kumua mtoto ndio suluhisho?
Mtoto alivuka mstari mwekundu.
Kama anapekechwa hayo ni yake na afanyie huko anakojua.
Kitendo cha kumleta mpekechaji kwa baba mzazi ni dharau na maudhi makubwa kwa baba.

Ninaweza kusema baba aliua bila kukusudia. Alifanya hayo akiwa kwemye maumivu makali sana ya moyo.
 
Back
Top Bottom