Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Halafu kwenye zile nyuzi za maskhara huwa ni mabingwa wa kufagilia ulaji wa tigo.

Ni aibu sana.
 
Wengi mnao ongea hivi inawezekana hata watoto bado hamjapata.
Nani amekwambia mashoga wanapewa ruhusa?
Halafu inaweza ikatokea hata nguvu unayoisemea hapa usiwe nayo zaidi ya kuwa mpole.

Hivi mnadhani wenye watoto mashoga wanafurahia?
 

Duh!!Ni huzunii[emoji2364]
 
Huyo jamaa alikuwa bottom au top au versatile?
 
Huyo kijana alifanya kitu cha kijinga sana,anastahili alichopata

Hizi mambo zifanywe kwa siri na sio kutaka kutangaza uchafu wenu
 
Ha haaa kwamba mzazi ni lazima atoe kibali
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aibu sana.

Wengi wa wanaopayuka humu sio kwamba wanauchukia ushoga. Ni hasira tu za kukosa fedha na umasikini.

Unaweza kukuta ni njaa tu, mtu hajala toka asubuhi, akipata mahali pa kutoa uchungu basi anabwaga mitusi kweli kweli.

Tukitaka kutatua tatizo la ushoga kwa dhati, lazima kwanza watu wajadili wakiwa wameshiba chakula.

Huwezi kujadili hoja na mwenye njaa. Ni tatizo. Hupati majibu yenye mantiki zaidi ya hasira na mitusi.
 
Siku hizi mko wengi na mmeanza kujiweka hadharani.

Mnajificha kwenye kivuli Cha haki za binadamu kulazimisha uharamu wenu uwe halali. Mapenzi ya jinsia Moja lazima yapingwe kwa nguvu zote ingawa mzee aliyeua kafika mbali sana.
Hiyo ni hasira mkuu ndo imeua...
Imagine ww ndo mzazi wa huyo mtoto unadhani ungefanyaje Sasa ukikumbana na janga hilo
 
Ndio sio maadili ya kiafrika wala dini haziruhusu. Sasa niambie kwanini amue mtoto kisa kaleta mpenzi wake nyumbani? Huoni kama kila mtu atajicjukulia sheria mkononi tutafika kweli?
Tutafika watu wataogopa kufanya ufilauni huo ambao wengne mnasema ni haki ya binadam huku mkijua Kabisa mnapingana na nuru
 
Ni sawa akiwa mwanao inauma ila sio kumuua kwani hamna counselling na kama imeshindakana muache kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe.
Mkono ukikukosea ukate ukautupe... Haya maneno nadhani yapo kwenye vitabu vitakatifu
 
Ningekua babaako ningefanya Kama huyo Baba alemwekea sumu mwanae. We ni hasara kabisa kwa taifa hili.
Kauli mbiu ni ile ile:
#Tokomeza_Ushoga
#Ua_shoga
 
shoga mwenzio kaumaliza mwendooo na wew kuwa makiniii wahuni hawapendi huo ujinga wako bhasi tu
 
Wengi mnao ongea hivi inawezekana hata watoto bado hamjapata.
Nani amekwambia mashoga wanapewa ruhusa?
Halafu inaweza ikatokea hata nguvu unayoisemea hapa usiwe nayo zaidi ya kuwa mpole.

Hivi mnadhani wenye watoto mashoga wanafurahia?
Kwa mawazo yako umefikiria hatuna watoto that implies We should go with world changes and impartation. Kama huwezi kuwarekebisha na kuwatunza watoto wako au jamii yako ya karibu, hilo ni swala lako binafsi madame.
Pokea yaliyo mazuri na kataa yale mabaya katika jamii yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…