Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Kwasababu sio wakwako ila ukiwa mzazi haswa mama unadhani utakuwa na ujasiri wa kuutoa uhai wa mwanao kisa mapungufu yake. Hiyo dhambi kubwa sana.
Hayo Sio mapungufu mkuu acha hoja zako nyepesi Mungu mwenyewe alishasema wauwae, huo ni utovu wa nidhamu uliopitiliza huo Sio ulemavu kwamba mtoto amezaliwa nao, ni upunguani ambao mtu ameuiga kutoka sehemu na kuleta kwenye maisha yake, huo ni upumbagu na ujuha wa Hali ya juu
 
Hivi mwanaume unapata wapi ujasili wa kumbinulia kinyeo mwanaume mwenzako?

Aisee Kuna vitu ukivitafakari Kama mzazi Ni fedhea na Lazima TU ufanye maamuz magumu .

Hata ningekua Mimi,
ningefyeka iwe funzo wa watoto wengine
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa ndola huko Zambia amemua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.

Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.

Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo amabako anaishi mafichoni.

Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibanaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.

Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.

Na haswa upande wa hisia za watu.
Safi sana mzee, litoto likileta ushoga liuwawe
Hapana si haki kuutoa uhai wa mwanadamu mwenzako. Jaribu kubadili hizo fikra mkuu ni hatari sana.
Toto punga lazima liuawawe. Je wewe unayetetea ufiraji nawe ni shoga?
 
Tulia hivyo hivyo ndio dawa yenu. Kwanza nilishapanga mbinu nikipewa mamlaka naandaa party ya mashoga kama zile zinazofanywa pale Sinza. Naandaa vyakula na vinywaji vyenye sumu nawafuta kama 50 hivi kwa pamoja kimya kimya. Hapo nakuwa nishapanga shoga lingine la kusingizia sijui food poisoning, chemical attack au naandaa mtuhumiwa wa kigaidi namvika kesi mpya. NGOs shauri yao

Wakitoka hapo wataacha kujianika mitandaoni ili kushawishi wengine
Kwa kujiongelesha tu umefanikiwa..mpaka sasa umechukua hatua gani kwa mashoga yaliyopo mtaani kwako..au ndio kujichekelesha nayo hapo kitaani kwenu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mie napinda mgongo kumpelekea moto mama yake, napata toto la kiume nalitunza kama mboni ya jicho nikitegemea ndio mrithi wangu, muendelezaji wa ukoo, mwisho wa picha nae anakuwa anataka kupumuliwa, mungu aninusuru na huu mtihani. Hata sijui nitamfanya nini.
 
Back
Top Bottom