Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa ndola huko Zambia amemua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.

Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.

Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo ambako anaishi mafichoni.

Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibinaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.

Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.

Na haswa upande wa hisia za watu. Kuua mtu sio suluhisho la kutatua tatizo tuangalie njia bora sisi kama walezi na wazazi.
Hayo mambo ya Haki za Binadamu utafanya kwa Mwanao akikua.
 
Hata mimi huwa nawaza hivo tu, nikija kupata mtoto wa kiume kisha awe shoga namuua tu, Ila nitatafuta namna nzuri ya kumuua ambayo sitajulikana kama ni mimi ndo nimeua...
Tema mate chini mkuu
 
Unakumbuka yule ustadh kule Arusha kama sijakosea aliyewalawiti watoto wadogo? Hebu niambie wale watoto baadee wakija kuwa mashoga nani wa kulaumiwa mkuu.
Nandomana tunataka hao wenye vitendo hivyo dawa ni kifo ili wasiwe tatizo kwa watoto wetu uzuri umesema ni watoto wanapatiwa tiba na kupata mafundisho sahihi na kuonyesha hayo si sawa endapo mtoto atapewa taratibu zote za maisha ya mwanadamu akaona sawa apumuliwe huyo nae kifo kinafaa kwake
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa ndola huko Zambia amemua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.

Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.

Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo ambako anaishi mafichoni.

Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibinaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.

Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.

Na haswa upande wa hisia za watu. Kuua mtu sio suluhisho la kutatua tatizo tuangalie njia bora sisi kama walezi na wazazi.
Huyo mtoto kashindwa kuheshimu hisia za baba yake
 
Hata mkiwaua haisaidii, machoko are there to stay.
Ni vile hatuwezi kuishi miaka mingi tuone jinsi itakavyokuwa let's say miaka 100 ijayo.
Tanzania itakuja kuutambua ushoga na vibendera vya upinde vitapepea kila kona na itaonekana sawa kwa wengi.
China ukila rusha adhabu ni kifo na ndicho kinachofanya rushwa kuwa chache mno fanya ndo waseme sasa kula rusha ni demokrasia [emoji1787][emoji1787] uone balaa ni sawa na wapuuzi wanaoaminisha kua me na me ni sawa na ke na ke haina shida ni sawa maana yao ni kueneza hayo mambo ya kishetani mimi naamini na nazidi kuamini kifo ni bora kwao
 
Hata mkiwaua haisaidii, machoko are there to stay.
Ni vile hatuwezi kuishi miaka mingi tuone jinsi itakavyokuwa let's say miaka 100 ijayo.
Tanzania itakuja kuutambua ushoga na vibendera vya upinde vitapepea kila kona na itaonekana sawa kwa wengi.

Hamna kitu kama hicho, huo ni utamaduni usiokubalika. Wee mabinti warembo kila kona wamejaa. Yaani tunafanya kujizuia ili tusifanye dhambi, halafu eti lingine linamtamani mwanamume mwingine. Ua kabisa hilo. halina faida kabisa.
 
Kulazimishana huko vipi?
 
Back
Top Bottom