Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

MAMBO YA WALAWI
Mlango 20
13. Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
Nadhani wakristo wafuati tena sheria nyingi za kipindi cha musa..mana sasa wanalo agano jipya na tumaini jipya kupitia sheria kuu ya Upendo.

#MaendeleoHayanaChama
 
Dini imesema wapi kwamba tuwaue? Mungu mwenyewe si awaue, kwanini atusakizie dhambi ya mauaji? Kwanini anashindwa
Daaa kumbe na wew unatetea mashoga?? Nilizan utakuwa rafk yangu kumbe ..........
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbavu zangu, asikimbie nipo nae sahani moja
Ujaona shoga anabeba damu yake mwenyewe,

Walawi 20:13 BHN
Kama mwanamume yeyote akilala na mwanamume mwenzake kana kwamba ni mwanamke, basi, wote wawili ni lazima wauawe kwani wamefanya jambo lililo chukizo; watawajibika kwa umwagaji wa damu yao wenyewe.
 
Kwanini amekimbia??
Angebaki ili tujue kweli alikua ana uchungu,

Tena mwambieni atakamatwa na atakua chakula huko huko Jela

Damu ya Mtu hua haimwagiki bure
Dam ya shoga ndo inamwagikaga bure!! Tena hii Ni Salam kwenu,mpaka mtaisha tu
 
Hayo Sio mapungufu mkuu acha hoja zako nyepesi Mungu mwenyewe alishasema wauwae, huo ni utovu wa nidhamu uliopitiliza huo Sio ulemavu kwamba mtoto amezaliwa nao, ni upunguani ambao mtu ameuiga kutoka sehemu na kuleta kwenye maisha yake, huo ni upumbagu na ujuha wa Hali ya juu
Halafu ni afadhali huyo mzee angesikia tu fununu kwamba kijana wako anafanya hayo mambo,Yeye kwa ushenzi wake kaamua kuja kumtambulisha kabisa mwanaume mwenzake
 
Kwahyo unahalalisha kuutoa uhai wa binaadamu mwenzako kisa mapungufu yake? Vipi kama kila mtu akianza kujichukulia sheria mkononi je unadhani dunia itakuwa sehemu salama?
Shoga auwawe na damu yake iwe juu yake
 
Hata huyo mwanaume mwenzake aliyetambulishwa ameponaponaje? alitakiwa nayeye aende na maji,hivi mnaanzaje kutoka na ndevu zenu mnaenda eti kutambulishana kwa wazazi wa mtu
Sijui alichoropokaje huyu mwanaume
 
Daaa kumbe na wew unatetea mashoga?? Nilizan utakuwa rafk yangu kumbe ..........
Kwamba ninahitaji marafiki?

Fanyeni kwa vitendo haya mnayoyaongea hapa ndo tunaamini nyie kweli vidume.
Kwanza nyie ndo mabasha za hao mnaowaita mashoga. Unafiki umewajaa
 
Halafu ni afadhali huyo mzee angesikia tu fununu kwamba kijana wako anafanya hayo mambo,Yeye kwa ushenzi wake kaamua kuja kumtambulisha kabisa mwanaume mwenzake
Alimchukulia Mzee wake poa, mpaka unaenda kujitambulisha huu umagharibi huu unaharibu vijana
 
Dam ya shoga ndo inamwagikaga bure!! Tena hii Ni Salam kwenu,mpaka mtaisha tu
Hii ni fantasy. Ni njozi.

Mashoga mpo wengi sana mtaani na hamna kitu kinatokea.

Hawa ni wanajeshi wa kwenye keyboard tu wanaotema hasira mtandaoni bila kufanya lolote kwa sababu hawana uwezo wowote isipokuwa kujibanza kwenye simu na kujitutumua.

Mtaani mambo ni tofauti sana.

Mapunga mnajiachia kwa raha zenu.
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa ndola huko Zambia amemua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula.

Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo hivo aliagiza waandaliwe chakula cha jioni ndipo alipomuwekea sumu kwenye chakula na kupelekea umauti wa mwanawe huyo wa kiume.

Kwa sasa baba mtoto huyo ametorokea nchini Congo ambako anaishi mafichoni.

Hii si haki kabisa na sisi kama watetezi wa haki za kibinaadamu tunalaani vikali kitendo cha huyo baba kumua mwanawe.

Kila mtu ana haki sawa hapa Duniani na tujifunze kuheshimu maamuzi ya mtu hata kama yanatuumiza.

Na haswa upande wa hisia za watu. Kuua mtu sio suluhisho la kutatua tatizo tuangalie njia bora sisi kama walezi na wazazi.
Sasa tutaheshimu vp kama yanatuumiza.?
Fanya maamuzi ambayo hayatatuumiza wengine.!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mtoto haukuwa na kosa kujitokeza hadharini ili familia yake ijue na mama yake analalamika kwanini baba akatili nafsi ya mtoto bila hata kushirikisha hata viongozi wa dini au wa kimila?
Hilo suala ni la baba iweje jamii ishirikishwe? Wakati anampa mimba mama yake alishirikisha jamii? Na damu ya huyo choko iwe juu yake
 
Back
Top Bottom