jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Nadhani wakristo wafuati tena sheria nyingi za kipindi cha musa..mana sasa wanalo agano jipya na tumaini jipya kupitia sheria kuu ya Upendo.MAMBO YA WALAWI
Mlango 20
13. Tena mtu mume akilala pamoja na mtu mume, kama alalavyo na mtu mke, wote wawili wamefanya machukizo; hakika watauawa; damu yao itakuwa juu yao.
#MaendeleoHayanaChama