Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

Kweli Uzee shida, yaani hapo nimekimbia mita 500 tu tayari nahema Juu juu, imagine upo na dogodogo si ataniua kitandani πŸ™ŠπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ€Έ
Wanaume hamzeekagi nyie hata kama kizeee unakuta kinatembeza bakora sio kitoto!!
Tena hizo mita 500 Ndio unajua fit sana
 
Hahaha........Umri huu ni wa kupata Mzee mwenzako tu, ukijichanganya kwa Hawa Vijana ni hatari kwa afya πŸ™ˆπŸ€ͺ
Awapii... huo uzee ukipata kibinti ndio vizuri unakichakaza mpaka kinakuheshmu na salute juuπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Napatikana Mitaa ya Ferry, jirani na ofisi ya Waziri Mkuu. Tupo tuna uza uza Samaki hapo πŸ™ˆπŸƒπŸƒπŸƒ
Ndio wapi hapo?? Hebu nielekeze vizuri nije tuungane kwenye jogging Mkuu
 
Ila nimewaza hizo staili za mpaka kuvunjana uti wa mgongo sizipatii picha Grahams unaeza nionesha mfano nizijue ili niweke tahadhari???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…