Amvunja mgongo mpenzi wake akitafuta G-spot

We acha tu nina siku ya tatu shingo inauma kama nimepata ajali na koo lipo kama nimetoka kuvuta sigara
Pole sana igaiga mtakuja kufa Huku zimechachamaaa wakuu n jifanyeni nyie ndio mnajua mapenzi 😎!
 
Hi chai Kali mno
IMG_20230107_164004.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mapenzi bwana.

Juma kisauti a.k.a mnyamwezi wa Mgeta Roro mkoani Morogoro amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kusababishia ulemavu wa kudumu kwa mpenzi wake walipokuwa wakinyanduana.

Katika harakati ya kuitafuta G-SPOT juma kisauti alimkunja kisawasawa msichana huyo kiasi kilichopelekea binti huyo kushindwa kupumua vizuri na kupelekea mshituko kwenye uti wa mgongo ambao mwisho wa siku binti huyo akapata stroke pale pale.

Juma alisema yeye dhamira yake ilikuwa kuifikia G-SPOT ya mpenzi wake huyo na hakujua kama kumkunja vile mpenzi wake kungepelekea kushtua pingiri za uti wa mgongo.

Juma kisauti amesema kwamba alipokuwa anasikia mpenzi wake analia kwa sauti ya uchungu huku akitetemeka mwili mzima, yeye alijua labda pengine ndiyo ameifikia G-spot hivyo aliongeza kumkunja ndipo aliposikia kitu kimelia kooooo.

Daaah balaa tupu.
Aseee
 
Aiseee kaitafuta vipi sasa jamani si iko kwa juu pale ya mfuniko
 
😀hii ilikuwa ni violent coitus
 
Ahahahah.
Huu uzi mtu unasoma unatamani kucheka ila ukiwaza kuna mtu kapata ulemavu m baya wa kudumu unajikuta tena unasikitika
Kwakifupi bora iwe uongo. Maana uti wa mgongo wa mtu mzima aliyefikia kunyanduliwa hauwez vunjika kirahisi rahis namna hiyo..
Watu huwa wanakunjwa bara bara kuna bed, wanakunjwa balaaaa ila huwez vunja uti wa mgongo
 
Back
Top Bottom