Ni mkuu wa wilaya kwasasa.Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
Post zake za Mzee MgayaKama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
Mkuu kweli na wewe HUJUI au unataka tufanye TAFAKURI ya kina!?Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
Inawezekana, na kwa kweli hilo la kuichukia CHADEMA lilikuwa wazi; kama ilivyo kwa baadhi, kama akina Yericko, kwa Tundu Lissu.Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
hiili lisingemnyamazisha 'the Baptist'. Angetokeza tu kwa aina moja au nyingine.Ni mkuu wa wilaya kwasasa.
"Majukumu"?Huwezi jua,inawezekana tayari yupo ndani ya shimo la hewa,anyway au majukumu yamezidi.....
Ndugu sulo sulo RIP SANA DUNIA HAINA HURUMAKama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
You are right!Inawezekana, na kwa kweli hilo la kuichukia CHADEMA lilikuwa wazi; kama ilivyo kwa baadhi, kama akina Yericko, kwa Tundu Lissu.
Hata hivyo, 'the baptist' asingekaa kimya kwa matukio mengi ya tokea wakati huo hadi sasa bila ya kutoa vimaneno vyake vya hapa na pale.
John atakuwa amepatwa na jambo kubwa ambalo limemzuia kuonekana JF muda wote huu.
Huyo hakuwa mtu wa kukaa kimya tu, kwa hiari yake.