An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

Najuwa haya nitakayoandika hapa si mahala pake; huenda kuna siku kutakuwa na mjadala mahsusi juu yake mahala husika.
Haya maswala ya Imani, ni magumu sana.
Kwa mfano: hili la "Tumwombee sana"
Huyu tunayemwoba; kuna kipimo anachotumia kujuwa hii kuomba inatosha au haitoshi?

Mkuu 'Mshana Jr', sichokozi, na wala sichoknoi chochote kwenye maneno haya yanayosemwa kila mara, na siyo wewe pekee umeyatumia.

Wenye imani nusunusu kama sisi naona tupo 'doomed' hata kabla ya kufika mlangoni kwa "tumwombae".

Nimeomba toka mwanzo, tusipoteze muda na hili kwa sasa..
Najuwa, nami nikipotea wapo "watakaoomba sana" Sitapenda kuwakatisha tamaa kwa fikra hizi nilizoweka hapa.
Lakini naamini ni jambo linalojadilika mahala sahihi.
We omba kama yupp au hapo wewe hayakuhusu.Sisi ametutendea makubwa👏👏
 
We omba kama yupp au hapo wewe hayakuhusu.Sisi ametutendea makubwa👏👏
Kakutuma wewe unipangie, au ni bangi tu zinazokutia uchizi?
Nikitizama mwandiko tu unaotumia hapa ni wazi "hajakutendea makubwa", zaidi kakunyima kila kitu!
 
Kwa hizi ID fake mtu hata akikata moto au kuliwa kichwa ni vigumu kujua
 
Back
Top Bottom