Nilikuwa namfananisha na kiongozi wa machawa wa Chadomo bwana Erythrocyte
Wewe ni kiongozi wa machawa kutoka Mbozi tena machawa wa bei rahisi unaanza wewe anafuata Lucy Mbwa wa Shamba mpo kama toilet paper .
Nilikuwa namfananisha na kiongozi wa machawa wa Chadomo bwana Erythrocyte
Sawa... Kwa Sasa aachwe apumzike. Mungu ampe wepesi kwenye mtihani anaopitia.'Signature' haipotei mkuu 'Kilewella'; ingeonekana tu!
Binafsi namtakia kila la kheri; na hasa matamanio yangu ni apate fursa ya kuona mabadiliko yanayokuja karibuni ndani ya taifa hili.Sawa... Kwa Sasa aachwe apumzike. Mungu ampe wepesi kwenye mtihani anaopitia.
Likely... Lakini yupo fit ila hiki kisulisuli hakuna ambaye kimemkosa... Tuombeane uzima na amani ya kweli ya moyo.Kwa umri wake most likely ni changamoto za afya.. Tumuombee Sana🙇🏿♂
mashetani tuu ? Au na kikolombwezo kinaanza kununa🤣🤣🤣🤣🤣Yuko kisuju analima mihogo. Alikuwa akiniona mashetani yanampanda😂
Kuna mambo yanaacha taathira ya kudumu (Permanent effect)kwa ivo likimkuta mwenzio ni kumuombea duwah tu mwenyezi Mungu amuafu.ila hiki kisulisuli hakuna ambaye kimemkosa...🥺🙆🏿♂🙇🏿♂
Najuwa haya nitakayoandika hapa si mahala pake; huenda kuna siku kutakuwa na mjadala mahsusi juu yake mahala husika.Kwa umri wake most likely ni changamoto za afya.. Tumuombee Sana🙇🏿♂
Mkuu yule mtu yupo humu kwa ID nyingine ila amepoa sanaKama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
Mkuu Kalamu always unani fikirisha na mabandiko yako.. Nimekupata vema kwenye hili..Najuwa haya nitakayoandika hapa si mahala pake; huenda kuna siku kutakuwa na mjadala mahsusi juu yake mahala husika.
Haya maswala ya Imani, ni magumu sana.
Kwa mfano: hili la "Tumwombee sana"
Huyu tunayemwoba; kuna kipimo anachotumia kujuwa hii kuomba inatosha au haitoshi?
Mkuu 'Mshana Jr', sichokozi, na wala sichoknoi chochote kwenye maneno haya yanayosemwa kila mara, na siyo wewe pekee umeyatumia.
Wenye imani nusunusu kama sisi naona tupo 'doomed' hata kabla ya kufika mlangoni kwa "tumwombae".
Nimeomba toka mwanzo, tusipoteze muda na hili kwa sasa..
Najuwa, nami nikipotea wapo "watakaoomba sana" Sitapenda kuwakatisha tamaa kwa fikra hizi nilizoweka hapa.
Lakini naamini ni jambo linalojadilika mahala sahihi.
Lakini kweli mtani ujue yule jamaa alikuwa zombie fulani hiviKaka I can bet sio yeye.. Maana hajifichi😀 kuna mahali angekosea tungemjua tuuu
'johnthebaptist' hawezi kujificha.Kaka I can bet sio yeye.. Maana hajifichi😀 kuna mahali angekosea tungemjua tuuu
Kama ule uandishi ni wa mzee basi kama taifa tunashida kubwa sana.Mshana Jr Matrix19 na Kalamu kwa taarifa ya uhakika johnthebaptist yu hai na anaendelea na maisha yake.
Kwa umri wake wa miaka zaidi ya 70 kuna magumu Fulani alipitia akaamua kupumzika kuingia JF ama anatumia ID mpya angalau aweze kuingia na kusoma michango ya watu mbalimbali.
John ni msabato na si mlutheri wala mkatoliki kama watu wanavyodai. Na ndiyo maana maandiko yake mengi alikuwa anawatakiwa watu "sabato njema".
Ni miongoni mwa wazee walioijenga nchi hii zama za Mwalimu na miaka ya mwanzo ya tisini akaingia kwenye siasa za upinzani na kina Mabere Marando.
Mambo mengi aliyokuwa anayasema yalitokana na habari za uhakika toka ndani ya mfumo ila alikuwa anaziwekea Nywila.
Inawezekana yeye tofauti na sisi, watu wake ndani ya mfumo wamemwambia akae mbali na mitandao ili timbwili la kwenye bahari lisimkute.
Lakini yu HAI.