An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

An extreme coincedence? Kuanguka kwa Mbowe na kupotea kwa Johnthebaptist!

Huyo mzee alionekana kwenye ile video moja ya Bashite alipoenda Lumumba kipindi kile kapewa ukatibu wa itikadi na uenezi alikua kwenye msafara member waliomtambua walimtaja na yeye alikiri huyo labda kaamua apumzike au alipata dhoruba la October 29.
"...kupumzika", na kutoingia JF na kudondosha vimaneno viwili, vitatu? HAPANA!

"Dhoruba" inawezekana sana.
 
N
Huyo wa Cuba hakuwa mlutheri, hicho kizee ni mlutheri.

Huyo wa Cuba hakuwa mhehe huyo mzee ni mhehe.

Huyo wa cuba maandishi yake yanaeleweka na alikua na uwezo wa kuchambua mambo huyo mzee alikua na vijistori tu kuchambua mambo hakuwa na uwezo mkubwa.

Mwisho ni mwandiko baina ya hao wawili inatoa hitimisho uliyemtaja sio huyo .
Nina uhakika! naishia hapo,more evidence later
 
Inawezekana pia kuna ID nyingi huu ambazo ni verified waliacha kuingia ila in real life wapo tunawaona mfano mmojawapo ni Mnyika.
'johnthebaptist' uandishi wake ndiyo ilikuwa 'brand' mahususi ambayo ilimtambulisha.
Yaani kuiacha ile 'brand' na kuchukuwa nyingine mpya na kuizika kabisa ile ya mwanzo, ingebidi aende kozi mpya kabisa kujifunza staili ile mpya, ambayo isingweza kuingiliawa na ile ya zamani..

Uandishi ni kama tabia, kuiga tabia mpya kabisa ni jambo gumu sana.

Nilitaka kuweka mfano wa huyo uliyemtaja, lakini nimeghaili; halitakuwa jambo jema, hasa kwa heshima niliyonayo juu yake.
 
Naam, nakubaliana na wewe kabisa kwamba huyo mzee kama angekua kabadili ID ni muda tu kuna siku tungejua maana uandishi na mwandiko wa mtu unajulikana japo tupo humu kwa pseudonym.
 
Kama utani kumbe mtu muda huu kabakia mifupa😪😭❗
Kabisa mkuu, humu JF ukiacha IDs chache ambazo uongozi wa JF ulipata taarifa za vifo vyao ambao wamewekewa badge ya RIP, Kuna IDs nyingi zipo inactive kwa watumiaji kufariki lakini kwa kuwa taarifa zao hazikufikia uongozi wa JF basi zinaendelea kuonekana kama vile labda wamiliki wamezitelekeza na kufungua IDs mpya kumbe tayari wametangulia mbele za haki
 
Kuna member huku yale ya october yalipita na ndugu zao...sasa hata kama ni uchawa kuna namna maumivu utakayopitia yanakufanya usion umuhim wa kukitetea hicho chamq
 
Kuna member huku yale ya october yalipita na ndugu zao...sasa hata kama ni uchawa kuna namna maumivu utakayopitia yanakufanya usion umuhim wa kukitetea hicho chamq
Yale mauaji yamesababisha maumivu na madhila mengi ya kudumu
 
Mshana Jr Matrix19 na Kalamu kwa taarifa ya uhakika johnthebaptist yu hai na anaendelea na maisha yake.

Kwa umri wake wa miaka zaidi ya 70 kuna magumu Fulani alipitia akaamua kupumzika kuingia JF ama anatumia ID mpya angalau aweze kuingia na kusoma michango ya watu mbalimbali.

John ni msabato na si mlutheri wala mkatoliki kama watu wanavyodai. Na ndiyo maana maandiko yake mengi alikuwa anawatakiwa watu "sabato njema".

Ni miongoni mwa wazee walioijenga nchi hii zama za Mwalimu na miaka ya mwanzo ya tisini akaingia kwenye siasa za upinzani na kina Mabere Marando.

Mambo mengi aliyokuwa anayasema yalitokana na habari za uhakika toka ndani ya mfumo ila alikuwa anaziwekea Nywila.

Inawezekana yeye tofauti na sisi, watu wake ndani ya mfumo wamemwambia akae mbali na mitandao ili timbwili la kwenye bahari lisimkute.

Lakini yu HAI.
 
Back
Top Bottom