Kwa "mwandiko" ule? Hapana.Au ndo Polepole
JF ilipopewa BAN ya siku 90 na yeye akazimika mazima.Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
Huyu alipewa majukumu ya "ushauri" ndani ya serikali ya Samia na Genge. Tokea wakati huo kaamua asiingie tena JF.vipi kuhusu Faizafx anaonekana humu? mie simuoní
Hapana.Inawezekana kaja kivingine baada ya maktaba wake kuwa terminated kwa kushindwa kumwezesha ushindi wa vita...
Usishangae pengine akawa ndio miongoni mwa hawa Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah au Dr wa Manesi au Troll JF au akawa na miongoni mwa Chawa wengi humu
Yeah, ndo huyo huyo, japo kalamu anasema siyo kweli.Haf rey?
Huyo ndiye 'thebaptist' mwenyewe!Sentence Moja keshamaliza mada😀
Hao ndio wangetusaidia kumaliza huu mjadala.Hicho ni kizee fulani Lumumba hapo, mbona kuna member humu wanakifahamu .
Unajua baada ya frey kujivua gamba, maandishi ya John the Baptist humu yalianza kuwaandama mbogamboga 😁😂Maybe am not sure..!
Hao ndio wangetusaidia kumaliza huu mjadala.
Binafsi naamini kuna jambo kubwa sana lilimtokea lililozuia kabisa asionekane tena JF.
Hawa wanaomjuwa wangesaidia kudokeza hali yake ilivyo sasa.
I can say for sure, DOUBLE SURE, johnthebaptist alikuwa yule wa BACU