Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Uwezekano wa huyo jamaa kuwa ana akaunti nyingine ni mkubwa mno kwa mtazamo wangu.
Sidhani..! Maana maudhui yake hayajifichiUwezekano wa huyo jamaa kuwa ana akaunti nyingine ni mkubwa mno kwa mtazamo wangu.
Hahaha.Sidhani..! Maana maudhui yake hayajifichi
Ni biggest hater wa wa CDM na Mwamba
Mada zake, heading inaweza kuchukua mistari miwili halafu maudhui sentence moja kamaliza😁
Inawezekana kaja kivingine baada ya mkataba wake kuwa terminated kwa kushindwa kuwezesha ushindi katika vita ile ya against nyaturu Tundu boy...Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
vipi kuhusu Faizafx anaonekana humu? mie simuoníYou are right!
Bibi nae shwaaaaaaaavipi kuhusu Faizafx anaonekana humu? mie simuoní
Ni huzuni mkuu kikubwa cheza kwenye chaki tuuHawa jamaa sasa hivi hawaangalii wewe ni kada mtiifu au vinginevyo , wakipita na wewe ndiyo basi tena.
nonsenseInawezekana kaja kivingine baada ya maktaba wake kuwa terminated kwa kushindwa kumwezesha ushindi wa vita...
Usishangae pengine akawa ndio miongoni mwa hawa Lucas Mwashambwa au Tlaatlaah au Dr wa Manesi au Troll JF au akawa na miongoni mwa Chawa wengi humu

Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
🤣🤣Ni mkuu wa wilaya kwasasa.
FactSidhani..! Maana maudhui yake hayajifichi
Ni biggest hater wa wa CDM na Mwamba
Mada zake, heading inaweza kuchukua mistari miwili halafu maudhui sentence moja kamaliza😁
Au ndo Polepole"Majukumu"?
TheBaptist' angepunguza muda wa chakula ili achungulie JF kuna nini!
Labda ndiye Tundu LissuKama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
Tulia,umnajua sana TAL?TAL hana haiba yake