Mkuzi-Bonde
Member
- Jan 20, 2026
- 16
- 24
Yule ni yule Mchungaji aliyemkimbia Mbowe Cdm akaenda mbogamboga na sasa amerudi Cdm
Na yeye alikuwa anawindwa... Wenzake wote waliwahi kutekwa na kucharazwa mijeledi... Yeye je?Mbowe alisimama dede nchini wakati wenzie wanaenda kuomba political asylum..Jaribu kumpa heshima haata kidogo .
Alishakaa jela huyo , jamaa ndiye kielelezo cha Chama.Na yeye alikuwa anawindwa... Wenzake wote waliwahi kutekwa na kucharazwa mijeledi... Yeye je?
Aliwai nambia mzee WASSIRA ni mdau mkubwa wa KONYAGII MWITU "GONGO""Majukumu"?
TheBaptist' angepunguza muda wa chakula ili achungulie JF kuna nini!
Mshana Jr Matrix19 na Kalamu kwa taarifa ya uhakika johnthebaptist yu hai na anaendelea na maisha yake.
Kwa umri wake wa miaka zaidi ya 70 kuna magumu Fulani alipitia akaamua kupumzika kuingia JF ama anatumia ID mpya angalau aweze kuingia na kusoma michango ya watu mbalimbali.
John ni msabato na si mlutheri wala mkatoliki kama watu wanavyodai. Na ndiyo maana maandiko yake mengi alikuwa anawatakiwa watu "sabato njema".
Ni miongoni mwa wazee walioijenga nchi hii zama za Mwalimu na miaka ya mwanzo ya tisini akaingia kwenye siasa za upinzani na kina Mabere Marando.
Mambo mengi aliyokuwa anayasema yalitokana na habari za uhakika toka ndani ya mfumo ila alikuwa anaziwekea Nywila.
Inawezekana yeye tofauti na sisi, watu wake ndani ya mfumo wamemwambia akae mbali na mitandao ili timbwili la kwenye bahari lisimkute.
Lakini yu HAI.
Mshana Mimi Nina mashak na wewe ni Mganga tena kweli kweli na sio wale wahanga njaaa🤸Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
John the Baptist popote ulipo ikiwa unaweza kuchungulia humu jukwaani fanya hivyo,kwani wengine wanakaribia kusema R.IPHuwezi jua,inawezekana tayari yupo ndani ya shimo la hewa,anyway au majukumu yamezidi.....
Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi huu.. Kumbe mkubwa ni almost age mate 🙆🏿♂Mshana Jr Matrix19 na Kalamu kwa taarifa ya uhakika johnthebaptist yu hai na anaendelea na maisha yake.
Kwa umri wake wa miaka zaidi ya 70 kuna magumu Fulani alipitia akaamua kupumzika kuingia JF ama anatumia ID mpya angalau aweze kuingia na kusoma michango ya watu mbalimbali.
John ni msabato na si mlutheri wala mkatoliki kama watu wanavyodai. Na ndiyo maana maandiko yake mengi alikuwa anawatakiwa watu "sabato njema".
Ni miongoni mwa wazee walioijenga nchi hii zama za Mwalimu na miaka ya mwanzo ya tisini akaingia kwenye siasa za upinzani na kina Mabere Marando.
Mambo mengi aliyokuwa anayasema yalitokana na habari za uhakika toka ndani ya mfumo ila alikuwa anaziwekea Nywila.
Inawezekana yeye tofauti na sisi, watu wake ndani ya mfumo wamemwambia akae mbali na mitandao ili timbwili la kwenye bahari lisimkute.
Lakini yu HAI.
Nilikuwa namfananisha na kiongozi wa machawa wa Chadomo bwana ErythrocyteKama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
Basi kumbe huna akili na hujui kufananishaNilikuwa namfananisha na kiongozi wa machawa wa Chadomo bwana Erythrocyte
Chadomo hamjawahi kuwa na AkiliBasi kumbe huna akili na hujui kufananisha