🚮🚮What a wasted manii
Ni kama genta, ana ID lukuki kakini flow yake ni ile ile.'johnthebaptist' uandishi wake ndiyo ilikuwa 'brand' mahususi ambayo ilimtambulisha.
Yaani kuiacha ile 'brand' na kuchukuwa nyingine mpya na kuizika kabisa ile ya mwanzo, ingebidi aende kozi mpya kabisa kujifunza staili ile mpya, ambayo isingweza kuingiliawa na ile ya zamani..
Uandishi ni kama tabia, kuiga tabia mpya kabisa ni jambo gumu sana.
Nilitaka kuweka mfano wa huyo uliyemtaja, lakini nimeghaili; halitakuwa jambo jema, hasa kwa heshima niliyonayo juu yake.
Hata Mbowe naye alisepa hadi Magu alipofyekelewa mbali ndiyo akarudi na Samia akamrukia na kumsunda ndichi miezi nane hadi alipokubali masharti ya Samia ndiyo akatemwa lupango na kuibukia Ikulu.Mbowe alisimama dede nchini wakati wenzie wanaenda kuomba political asylum..Jaribu kumpa heshima haata kidogo .
Maccm nyie ni mataahira kabisa ndiyo maana mumeacha wanaume Watanganyika wenye uwezo wa kuiongoza Tanganyika na mkaweka mwanamke toka nchi jirani ya Zanzibar aitawale Tanganyika, huu ni utaahira kabisa.Chadomo hamjawahi kuwa na Akili
Kuna mahala Katiba inakataza Wanawake na kuwataka wanaume?Maccm nyie ni mataahira kabisa ndiyo maana mumeacha wanaume Watanganyika wenye uwezo wa kuiongoza Tanganyika na mkaweka mwanamke toka nchi jirani ya Zanzibar aitawale Tanganyika, huu ni utaahira kabisa.
Watu wanakumbukumbu fupi sana humu JF.Hata Mbowe naye alisepa hadi Magu alipofyekelewa mbali ndiyo akarudi na Samia akamrukia na kumsunda ndichi miezi nane hadi alipokubali masharti ya Samia ndiyo akatemwa lupango na kuibukia Ikulu.
Hii ni habari njema kuwa yu "HAI".Lakini yu HAI.
Mkuu 'Allen' hili la "kuingia JF na kusoma", halafu anajizuia kabisa kuacha neno hata moja?akaamua kupumzika kuingia JF ama anatumia ID mpya angalau aweze kuingia na kusoma michango ya watu mbalimbali
Kuna mahala Katiba inakataza Wanawake na kuwataka wanaume?
Akili zipi za nyie mnaojiita wanaume wa Tanganyika mumewahi zionesha kumzidi mnamuota Mzanzibari? Tanganyika itaongozwa na Mtanganyika ila Tanzania itaongozwa na Mtanzania wa pande yeyote bila kujalisha jinsia
😂😂😂😂😂Kifalsafa hapo ina maanisha huyo yohane mbatizaji ni lissu.
Sijui ameenda wapi huyu Mzee, kitambo sana.Kama kuna watu waliichukia CHADEMA kwasababu tu ya mtu mmoja basi alikuwa chawa kiroboto wa Lumumba bwana johnthebaptist
Huyu ndugu alikuwa na ugomvi binafsi na mwamba Freeman Mbowe aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA.. Alikuwa radhi kuandika post za uongo na za kizushi mara tano kwa siku kuihusu CDM na mwamba
Maajabu hayaishi duniani..! Mwamba aliposhindwa uchaguzi na TAL ndio ikawa mwisho wa johnthebaptist kuonekana jukwaani
Je alikufa ama hiki kilichotokea ni extreme coincidence!?
MmhI can say for sure, DOUBLE SURE, johnthebaptist alikuwa yule wa BACU
Ukibahatika kuwa na njia ya kumfikishia salam zetu, mwambie mapambano ndiyo kwanza yanapamba moto.Hii ni habari njema kuwa yu "HAI".
Nilikuwa na mashaka makubwa kuhusu uhai wake. Sasa kwa kuwa yungali kwenye mapambano (uhai ni mapambano siku zote) haitamshangaza yeyote siku moja akijitokeza, baada ya hizi timbwili zilizopo sasa na kueleza mengi aliyojifunza huko aliko sasa.
Ukibahatika kuwa na njia ya kumfikishia salam zetu, mwambie mapambano ndiyo kwanza yanapamba moto.
Kamwe hatuwezi kuitelekeza Tanzania kwa hawa mashetani.
😆😆😆😆😆Akishalanduka beer za mchana hata saa saba anaaga kwa kusema "mlale unono".
Nimesema kwa kutumia Akaunti nyingine.Mkuu 'Allen' hili la "kuingia JF na kusoma", halafu anajizuia kabisa kuacha neno hata moja?
Huyu atakuwa siyo 'thebaptist', atakuwa mtu mwingine kabisa!
Ukisema kaacha kabisa kuingia JF, hili linawezekana; ingwa pia ni gumu.
Chukulia mfano wa hii mada yenyewe inayomhusu yeye moja kwa moja; aingie na kusoma tu, na kuondoka bila kuacha ujumbe wowote hata kwa hizo ID nyingine..., ISINGEWEZEKANA.
Nimepitia michango mbalimbali humu kutazama 'signature' yake, siioni!
'Signature' haipotei mkuu 'Kilewella'; ingeonekana tu!Nimesema kwa kutumia Akaunti nyingine.