Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Asante sana mkuu
 
Umri wko Bado sana kuolewa kuepuka kwenda kuzibukia kwenye ndoa.
Ndoa unaingia baada ya kumaliza ujana.
Kwa sababu ndoa ni ibada,
 
😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Atakuwa hana hela huyo.Kwenye hela huwaga hamfikiri mara mbili.
 
Anafaa hasa kwngu umri wake hsa ndio tatzo na ukizingatia bdo life sijaikamatia vzuri ni tatzo pia Kuna wakati natamani nimpasie mdgo wngu lkn nakuwa na hofu labda atahisi nilishatembea nae
Kweli hapo changamoto sana, mchane tu ukweli uone ataupokeaje ila hilo la kumpasia mdogo wako siyo sawa
 
Anazo za kwake hata nikimkubali hazitakuwa zangu
Ndio ukweli wenye hamjaligi true love kwenye hela. Kuna demu mmoja pisi kweli kweli, alimwacha kijana mwenzake waliye anza nae tokeo O level sababu ya mzee 50+.Yule Yank alipigwa block kila mahali, dogo nusu avunjike kutaka kuruka kwenye fensi ili akamuone demu wake. Mzee bila hiyana akamnunulia IST, demu kapagawa, mzee alivyo kuwa hatari kabiga mimba dabali ,then akampiga chini.

Kwenye hela nyie hamchomoi, Nandy yule alimpiga chini Billnass sababu ya hela, baada ya mwamba kuvuta Nandy akaanza kujirudisha kwa Billnass.

Huyo mzee nina uhakika hana hela.
 
Anazo lakini hataki kunigawia
 
Naomba nirudi kwakwako kwani wew moyo wako unasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…