Ana miaka 46 anataka kunioa, je hii ni sawa kwa umri wangu?

Ukiolewa naye huo ni uzinzi! Maana mbele za Mungu inatambulika ndoa ya kwanza!
 
Kwani wewe ni umbu lake?
NB:Ngoja nimuulize Sara mke wa Ibrahim baba wa imani walipishana miaka mingapi wakati wanaoana.Nikimalizana naye,naenda dawati kuwaomba wanisomee sheria ya ndoa kwa Tanzania inataka nini.
 
Usikimbilie ndoa
Chukua mda wa kutosha kumjua huyo mtu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…