Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Kama yeye anataka mwachie kama zawadi ila kata mawasiliano nae na kama vipi mruke, mwambie sio mhusika
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichur...
Mtoto wa nje? Ndio nini?
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri...
Kwani wewe ulikuwa unamwaga kokoto?

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hizi DNA’s muwe mnaangalia pa kuzidondosha. Kama hali yake ya uchumi iko poa mtoto atasoma na mwalimu wa tuition ni mama yake. Usishangae huyu wa nje akaja kuwa mheshimiwa na wale wakina Junior wakaishia kuvizia mali za msure waziuze.
 
Back
Top Bottom