Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Haaa haaa haa kwahiyo kapata chaka la kujihifadhi na ndiyo upo mbali na mkeo anachukua nafasi taratibu, atamwambia nitaelea mwenyewe asubili mtoto azaliwe atamwambia nitambulishe kwa ndugu tayari mke wa pili

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Jibu hili ndio litafata 😂😂🤣 hata mie aliniambia atalea mwenyewe ila anataka kunipeleka ustawi wa jamii wanawake wana mbinu sana za kutuingiza kwenye 18!
 
Jibu hili ndio litafata [emoji23][emoji23][emoji1787] hata mie aliniambia atalea mwenyewe ila anataka kunipeleka ustawi wa jamii wanawake wana mbinu sana za kutuingiza kwenye 18!
Umempima mtoto mkufunzi?
 
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.

Kifupi amepata mimba ya mwezi mmoja na hataki kusikia habari ya kutoa, anadai alikuwa anahangaika kupata mimba na ananishukuru mimi kwa kumpa mimba. Mimi nimeoa wale Wanawake wanajiita wasomi yaani anapenda kazi kuliko mume na tunakaa mkoa tofauti tofauti kwa sababu ya kazi.

Mimi nimepanic Ilayeye ana furaha ya ajabu kiasi kwamba nikiona hivyo nazidi kupagawa. Anakataa hata kukutana na mimi, anajua naweza nnikamnyang'anya mimba yake.

KI UKWELI MI SITAKI KUZAA NAYE KWA SABABU NITAVURUGA NDOA YANGU.

Tusaidiane namna gani naweza kuukwepa huu mtego. Sitaki tena sitaki kuwa na mtoto wa nje
Nikuulize Suala moja tu, kama ulikuwa hutaki mtoto wa nje ilikuwaje ukatembea nje tena pekupeku?
 
Nilifanya ujinga sana, huyu demu nilimtema ni king'ang'anizi sijawahi kuona, ipo siku akajifanya mgonjwa na anahitaji msaada, huruma iliniingia na rafiki yangu akaniambia plz weka kinyongo pembeni msaidie na akaamua kunisindikiza.
Tulipofika kwake ilikuwa ni usiku jamaa akabaki kwenye gari, kuzama ndani kumbe demu haumwi wala nini anataka kuliwa...ile kugusa baada ya mwezi naitiwa mimba.
Nikamwambia siijui hadi ujifungue nikapime kwani inaonyesha kuna hila.
Haaa haaa pole , kuna mwingine kaletewa mtoto kahudumia baadaye kama kashituka vile kumwambia twende ustawi ili tukapime mwanamke kalala mbele [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Haaa haaa pole , kuna mwingine kaletewa mtoto kahudumia baadaye kama kashituka vile kumwambia twende ustawi ili tukapime mwanamke kalala mbele [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
Wanawake wana hila nyingi, hasa huyu wangu naona anahisi kupitia mtoto amenipata, umebaki mwezi mmoja ajifungue lazima nimpime mtoto
 
Nilifanya ujinga sana, huyu demu nilimtema ni king'ang'anizi sijawahi kuona, ipo siku akajifanya mgonjwa na anahitaji msaada, huruma iliniingia na rafiki yangu akaniambia plz weka kinyongo pembeni msaidie na akaamua kunisindikiza.
Tulipofika kwake ilikuwa ni usiku jamaa akabaki kwenye gari, kuzama ndani kumbe demu haumwi wala nini anataka kuliwa...ile kugusa baada ya mwezi naitiwa mimba.
Nikamwambia siijui hadi ujifungue nikapime kwani inaonyesha kuna hila.
Mimi chekundu au cheusi kinaenda kujulikana ndani ya week hii maana nimepewa taarifa demu kaenda hospital kujifungua.
 
Jibu hili ndio litafata [emoji23][emoji23][emoji1787] hata mie aliniambia atalea mwenyewe ila anataka kunipeleka ustawi wa jamii wanawake wana mbinu sana za kutuingiza kwenye 18!
Unaweza kuta mpo 3 anawachezea shega [emoji23][emoji23] anakula kote kote, hiyo yakukwambia atakupeleka ustawi anakutishia nyau haa haa haa, pole

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
yaani maelezo yako ni kama picha la kihindi vile,
 
Back
Top Bottom