Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Sasa waweza kuta pamoja na hekaheka zote hizo kumbe mimba kapewa na mwalimu mwenzie.
Haaa haaa haa kwahiyo kapata chaka la kujihifadhi na ndiyo upo mbali na mkeo anachukua nafasi taratibu, atamwambia nitaelea mwenyewe asubili mtoto azaliwe atamwambia nitambulishe kwa ndugu tayari mke wa pili

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Sa
Kuna Mwalimu fulani anamfundisha mwanangu shule niliyomuhamishia baada ya Mimi kuhamishwa kikazi.

Ili kumfanya awe karibu na mwanangu nikawa nampa hela Mara kwa mara kumbe mwenzangu amevutiwa na mimi si tukafika point tukaanza kulana kichuri.
Hutaki kuzaa naye huku mtoto ameishaingia ,kwan amesema umuoe. Ye anataka mtoto acha alee mtoto anahitaji tu uwe baba basi ,sa hutaki kipindo ulipokuwa naye hukujua hili jaman? Leeni mtoto huyo mama wa watu she is happy maana kipengele cha kutafuta mtoto afu ukapata afu leo umwambie aitoe hakiwezekan . ushakua baba na una mtoto nje ya ndoa jiandae tu mkisaikolojia na jinsi gan utalea .
 
Mmh! Kibaya zaidi Sterehe ya muda mfupi inaenda kuvuruga malengo yote uliyojiwekea.
Nilifanya ujinga sana, huyu demu nilimtema ni king'ang'anizi sijawahi kuona, ipo siku akajifanya mgonjwa na anahitaji msaada, huruma iliniingia na rafiki yangu akaniambia plz weka kinyongo pembeni msaidie na akaamua kunisindikiza.

Tulipofika kwake ilikuwa ni usiku jamaa akabaki kwenye gari, kuzama ndani kumbe demu haumwi wala nini anataka kuliwa...ile kugusa baada ya mwezi naitiwa mimba.

Nikamwambia siijui hadi ujifungue nikapime kwani inaonyesha kuna hila.
 
Back
Top Bottom