Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Eti hutaki kuzaa naye na huku mwenzio ana mimba..!!! Kuzaa is not an event,is a process.. Inaanzia pale mnapotongozana hasi mtoto kuzaliwa... Kama ulikuwa hutaki kuzaa naye ungetumia KONDOMU...
 
Walikofikia siyo kwamba hakujulikani..!! Kunajulikana na kila mtu anajua mkifyatuana bila kinga kwenye kipindi cha kupata mimba, kama wote ni wazima na damu zinashabihiana, LAZIMA MIMBA ITUNGE
 
Dah!. naona changamoto zetu zinafanana kwa % kadhaa.
dah, mimi kuna binti sina mpango naye na alijua kabisa, siku hiyo kaja kanilazimisha nile papuchi balaa, sipendagi kula papuchi kwangu , na sikuwa na hamu kivile kanilazimisha sana . mwisho nikaenda guest nikiala akasema tena nitatumia dawa nataka kavu dah kidume nikala, kumbe kanitegea bhn, kapata mimba hataki kutoa tumegombana kwa mara ya kwanza nikajikuta natoa tusi, siyo desturi na kawaida kwangu, nikawa sina jinsi, mwezi wa saba huu, na anaomba hela balaa yani anaboa kweli
 
Sasa kinachokuogopesha ni nini? Mimba ipo kwa mwingine au wewe marioo unaogopa bibie akijua utafukuzwa
 
Anamuhofia mkewe
Ndiyo lakini km baba anayeweza kubeba majukumu hapaswi kuhofia kwa kiasi kikubwa hasa ukizingatia bibie ni mwenye mi.ba ni mfanyakazi, na alikuwa anatafuta mtoto kipindi kitefu. Yeye aendelee kukaa na familia yake asubiri matokeo ya na atunze mtoto.
 
Ndiyo lakini km baba anayeweza kubeba majukumu hapaswi kuhofia kwa kiasi kikubwa hasa ukizingatia bibie ni mwenye mi.ba ni mfanyakazi, na alikuwa anatafuta mtoto kipindi kitefu. Yeye aendelee kukaa na familia yake asubiri matokeo ya na atunze mtoto.
kabisa
 
Hamna jinsi kubali tu kukabiliana na hiyo hali, hicho kiumbe kinahitaji kuona mwanga kama wewe ambavyo Mama yako hakutoa Mimba yako.
 
Nikuulize Suala moja tu, kama ulikuwa hutaki mtoto wa nje ilikuwaje ukatembea nje tena pekupeku?
NIlitembea nje kwa sababu mke wangu yupo mbali umri wangu na nye.nge vinaenda sambamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…