Ana Mimba yangu, ila nimeoa na sitaki mtoto nje ya ndoa

Mzee baba hapa inavyoonekana mkeo ndo kila kitu yaani kifupi ww ni Marioo kwake.. sasa uoga wako Ni huu msala utakuharibia kwa mkeo[emoji28][emoji28]
NIkuambie tu ukweli kinachonitisha ni kuwa mke wangu akianza malipizi na ule umbali tutapoteana kama familia
 
Jibu hili ndio litafata [emoji23][emoji23][emoji1787] hata mie aliniambia atalea mwenyewe ila anataka kunipeleka ustawi wa jamii wanawake wana mbinu sana za kutuingiza kwenye 18!
[emoji23][emoji23][emoji23]aisee wanawake mbinguni watapaskia
 
Wanawake wana hila nyingi, hasa huyu wangu naona anahisi kupitia mtoto amenipata, umebaki mwezi mmoja ajifungue lazima nimpime mtoto
Ukienda ustawi wa Jamie Foxx mtoto lazima awe wako hawataki street children
 
Anajua una mke ana mimba yako na ana amani na hilo

shida iko wapi eti? mtoto nje ya ndoa! Sheria za wanadamu

zisifanye tukachukia uumbaji wa Mungu,Anaekuja anaweza kuwa ukombozi wa DUNIA

unamuita "mtoto wa nnje ya ndoa"?! seriously?! mpe baraka zako Muhudumie akiwa huko huko..Thank Me later...
 
Oya Hebu nipe uzoefu mliishije?mi nimepanga kujirudi niombe gemu then nimuingizie vidonge kule kwenye papuch na dusherere langu aanze kubleed na ndo mwisho wa kujuana na wanawake mandenzi kama yeye.
 
Damu yako unawaza kuua kisa mwanamke yaaani. Upumbavu kweli.
Uzinzi ni kosa lako ila damu yako haina makosa muuaji.
 
Contradictions nyingi sana kwenye maelezo yako. Kwanza mkeo mpo mbali na anathamini kazi kuliko anavyokuthamini wewe, kwa lugha nyingine ni kuwa akipewa options aache kazi ama akuache wewe nadhani jibu unalo. Pili unakubali kuwa umemtia huyo mwalimu mimba lakini unakataa matokeo. Usaidiwe vipi mkuu ?
 
Comment zote nimezisoma naona sishauriwi kama Uzi unavyosema Ila nimepanga kumpetipet Ila anipe mzigo kulalake namuingizia Misoprosal 3 kwenye mbunye huyu kazugika na Gari na maisha niliyonayo amejitoa mhanga kwa mwanae yeye kakata Tamaa ya kuolewa kaona awakeze kwangu kwa sababu ambazo Nazijua mimi ambazo nikizitaja mtahisi nimekuwa Kiduku lilo
 
Damu yako unawaza kuua kisa mwanamke yaaani. Upumbavu kweli.
Uzinzi ni kosa lako ila damu yako haina makosa muuaji.
ninekuambia sijapanga KUZAA nje NITAVURUGA familia imegoma kuniingia akilini potelea pote na mpunga usiote hata kama hilo Toto litakuwa Diamond au Harmonize nitalikana mwanzo mwisho kwa sababu sijaplan huu ujinga
 
Unatombana bila condom halafu unajiambia ni ujinga kuzaa nje ya ndoa akili za kizembe.

bwana mzinzi, huyo mtoto ni mali ya Jamhuri ni vile tu Jamhuri hatuwezi kukualocate ulipo. Ungefahamu maana ya neno mali ya jamhuri kisheria.
 
Jamuhuri ya Bibi yako we mtu anategesha mimba kwa maslahi yake hajiulizi mtoto ataishije. SITAKI KULETA MTOTO THEN NIWE NAMFICHA KAMA GONIA LA BANGI
 
Jamuhuri ya Bibi yako we mtu anategesha mimba kwa maslahi yake hajiulizi mtoto ataishije. SITAKI KULETA MTOTO THEN NIWE NAMFICHA KAMA GONIA LA BANGI
Alikuvua condom? Au ilipasuka? Unategeshewaje mimba kifala fala? Huyo mtoto ni damu yako unamficha wa nini? Au wewe ndo umeolewa mkeo ndo mume? Mwanaume unaogopa kumwambia mkeo una mtoto ukamuomba msamaha yakaisha? Embu kaongee na babu zako wakushauri kama wapo hai.
 
Tulia azae uzuri ni teacher atalea tu ila umwambie iwe siri yenu! Hivi ndivyo wazee wetu walivyozaaga nje
Ticha mwenyewe kumbe anajitolea hajaajiriwa yaani kichwa kinazidi kupata moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…