Ana mtaji wa 100,000 anahitaji biashara ya kumpatia 10,000 tu kwa siku kama Net Profit

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi

Msaidieni kwa hilo, maake nimemuomba ajiunge na gereji yangu akasema hataki kuajiriwa
 
Afanye biashara ya Skanka reja reja japo kamtaji aongeze kidogo!
 
Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi

Msaidieni kwa hilo, maake nimemuomba ajiunge na gereji yangu akasema hataki kuajiriwa
Ataishia kutapeliwa
 
Achome mishikaki ya mia 2 mia 2.

Kwa siku ana uhakika wa kukunja elfu 50 kama faida
 
Back
Top Bottom