Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
Afanye biashara ya Skanka reja reja japo kamtaji aongeze kidogo!Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi
Msaidieni kwa hilo, maake nimemuomba ajiunge na gereji yangu akasema hataki kuajiriwa
Ataishia kutapeliwaNi kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi
Msaidieni kwa hilo, maake nimemuomba ajiunge na gereji yangu akasema hataki kuajiriwa
Achome mishikaki ya mia 2 mia 2.Ni kijana wetu mdogo mdogo, ameachana na mateso ya kuajiriwa anataka kufanya biashara yake mwenyewe. Ana kijilaki chake cha mchongo, anahitaji kutengeneza 10,000 tu kwa mwezi
Msaidieni kwa hilo, maake nimemuomba ajiunge na gereji yangu akasema hataki kuajiriwa