Ana mtoto wa miezi minne. Je, anafaa kwa matumizi?

LOVE U JF

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
2,157
Reaction score
1,681
Nimekutana na aliyekua Mpenzi Wangu pande za Kimara yupo kwa dada yake, ana kichanga cha miezi mi 4 na katoswa na aliyemzalisha. Kwakua tulikua naye vizuri tulijikuta wote tukihitaji tugegedane ila baadaye akasema hatuwezi fanya mapenzi tutamharibu mtoto tusubiri afikishe angalau miezi 6, eti ingekua mtoto ni damu yangu haina madhara lakini kama siyo damu yangu mtoto anadhurika.

Je, wadau hiyo kauli ina ukweli wowote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…