Ana mtoto wa miezi minne. Je, anafaa kwa matumizi?

Ana mtoto wa miezi minne. Je, anafaa kwa matumizi?

Bado tupo tu ,hapa mtani kwetu Kinyerezi tupo Kama 600 hivi
Ongera sana mkuu wanaume kama nyinyi kizaz chenu kishapotea tangu vita ya majimaji big up mkuu[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
yp,its true .kwa maelezo ya ki-layman kabisa ni kwamba shahawa inapomuinga mwanamke kama isipofanya uchavushaji(fertilazition) bas inachanganyika mwilini na damu mwilini.sasa kama ana mtoto mchanga anaponyonya anakutana na zile protin ambazo hazimuhusu(sio damu yake) kwa kiasi flan zitamzuru (kumbemenda) kwa maana mwili wake utazikataa.protin za mzee wake zinazidi kumuimarisha
 
Back
Top Bottom