Ana mtoto wa miezi minne. Je, anafaa kwa matumizi?

Mkuu
Karibu mhenga unisaidie naona kuna wanazengwe wananibania nisifaidi
Sio wanakubania. Nadharia ya kubemenda haina ukweli wowote.
Mkigegedana, mbegu zinaishia kwenye papuchi, hamna namna yoyote ya kwenda kwenye maziwa.
Wapeni watoto wenu balanced diet, wapeni nafasi ya kupumzika, kucheza, na muwaoneshe upendo.
Wanaobemendeka ni watoto wa masikini tu?????
 
Mkuu Nimekuelewa vizuri saana , Ila naomba unisaidie swali hili je mke anaweza kushiriki tendo baada ya mda gani toka ajifungue ?
 
Singo maza wana tabu asee dah ,,, kwahiyo ukishamla unamuoa au unamuacha na usingo maza wake?
 
Back
Top Bottom