Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Sio wanakubania. Nadharia ya kubemenda haina ukweli wowote.Mkuu
Karibu mhenga unisaidie naona kuna wanazengwe wananibania nisifaidi
unajua kubembendaAnaharibikaje?
Mkuu Nimekuelewa vizuri saana , Ila naomba unisaidie swali hili je mke anaweza kushiriki tendo baada ya mda gani toka ajifungue ?Sio wanakubania. Nadharia ya kubemenda haina ukweli wowote.
Mkigegedana, mbegu zinaishia kwenye papuchi, hamna namna yoyote ya kwenda kwenye maziwa.
Wapeni watoto wenu balanced diet, wapeni nafasi ya kupumzika, kucheza, na muwaoneshe upendo.
Wanaobemendeka ni watoto wa masikini tu?????
Mkuu Nimekuelewa vizuri saana , Ila naomba unisaidie swali hili je mke anaweza kushiriki tendo baada ya mda gani toka ajifungue ?
Unamnasa mama yake makofi kwa chini [emoji23][emoji23]Mkuu ,hebu fafanua nazibuaje masikio mtoto?
Arusha arifu. Kama uko pande hizo ungana naye kusikiliza seraLeo lissu anamkutano wapi..??
NMC relini hapa arusha. Ndio naelekeaLeo lissu anamkutano wapi..??
Mkuu hakuna jipya, hauwezi kua na uchungu nae kama kweli sio wako. EndeleaNi nadharia tu hizo
Hebu toa justification ya kisayansi ili tuamini
Siku 40 au akianza period chochote kinachotanguliaMkuu Nimekuelewa vizuri saana , Ila naomba unisaidie swali hili je mke anaweza kushiriki tendo baada ya mda gani toka ajifungue ?
Mapema sana mtu wewe,angalau siku 40 toka ajifungueWiki tatu mpka nne tangu ajifungue