The Infamous
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 731
- 121
Duh, mtoto miezi mitatu, mimba miezi mitatu. Hapo noumer, subirini tu matokeo.
Hebu vaa huu uhusika, kisha nipe ushauri..mkeo ana mtoto wa miezi mitatu lakini kapata ujauzito na sasa wiki tatu, utafanya nini wewe kama baba au mama...
muache tu amlete mtoto duniani! wala usimshawishi kufanya jambo la kishetani! WATAKUA TU HAO WATOTO BELIEVE MI, Wish you all the best.