The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
Mwangalieni kwa hizi siku tatu kama bado anaendelea kuharisha aache kumnyonyesha na atumie maziwa ya ng'ombe atakuwa tu na mwenye afya bora mbona watoto wanaozaliwa mamayake ana HIV wanakulia maziwa ya ng'ombe na wana afya nzuri tu.usiogope baba be strong!Dah kwa kweli akili ilikuwa imevurugika sana jana baada ya taarifa...sikutaka kuchukua wazo lolote toka ktk kichwa changu nikaamua wacha kwanza nipate ushauri.angalau kuanzia hapa naweza juwa nini cha kufanya, nashukuruni sana, pili sikutegemea kabisa kama angeweza shika ujauzito, kwakweli imenishtua sana.tatizo jingine ni kwamba, sasa mtoto akinyonya anaharisha, hiyo miezi mitatu iliyobakia mpaka afikishe sita itafika kweli? kama akiendelea na hali hii...hapa nifanye nini...
Wana Jf,
Naomba kila mmoja ajaribu kuvaa huu uhusika, kisha nipe ushauri.. Mke ana mtoto wa miezi mitatu lakini kapata ujauzito na sasa wiki tatu, utafanya nini wewe kama baba au mama? Ushauri gani unafaa ana mambo gani inabidi kuzingatiwa katika wakati kama huu?
Kwa hiyo ni assumption tu,au?
Mimi nimefikiria hivi:
Kwa hali ya kawaida mara nyingi ujauzito unafikiriwa ikiwa mama amepitisha siku zake(MP),kwa hiyo mama huyu atakuwa amepitisha siku zake kwa wiki tatu tu! Inawezekana eeh?!
Mara nyingi dalili za ujauzito zinaanza baada ya mwezi mmoja na kuendelea.Kwa hiyo huyu mama atakuwa ameona dalili kabla ya mwezi mmoja kupita!Inaweka kuwa abnormal pregnancy,wengine wanaita molar pregnancy.
Ni weli inawezekana,ila huyu atakuwa ni miongoni mwa akina mama wachache sana chini ya jua hili wenye bahati hiyo!
Najiuliza amejuaje kama ni mjamzito.
Kwangu mimi naichukulia kama assumption,so na majibu yanatakiwa kuwa assumptions!
Miezi mitatu alitakiwa awe hata hajaanza kuona siku zake za mwezi. Lakini kwa ajili ya wivu wake na kiherehere chake ameanza kufanya uzembe mapema sana. La maana matunzo ya hali ya juu yanatakiwa kwa mama na mtoto wa miezi mitatu akifanya ujinga ama yeye ama mtoto/watoto watapotea.
Wivu gani tena huo jamani wadada, ala hata kukauka ulishakauka kweli, loh.
Dah kwa kweli akili ilikuwa imevurugika sana jana baada ya taarifa...sikutaka kuchukua wazo lolote toka ktk kichwa changu nikaamua wacha kwanza nipate ushauri.
angalau kuanzia hapa naweza juwa nini cha kufanya, nashukuruni sana, pili sikutegemea kabisa kama angeweza shika ujauzito, kwakweli imenishtua sana.
tatizo jingine ni kwamba, sasa mtoto akinyonya anaharisha, hiyo miezi mitatu iliyobakia mpaka afikishe sita itafika kweli? kama akiendelea na hali hii...hapa nifanye nini...
Mrimi mimba na dalili zake zinajulikana zikiwa na week 2 na hata ukipima unaweza kujua
Kwanza dalili nyingi za mimba zinafanana na menstrual period ikivuka siku ambazo ulitarajia kupata hedhi lazima mtu atashtuka na kipimo cha pili ni pregnancy test kifaa kipo kinauzwa pharmacy vilevile process ya implantation inaanza siku ya kumi toka yai likutane na mbegu kunakuwa na maumivu ya tumbo na wakati mwingine damu hutoka kama matone kwa mwenye ufahamu anatambua mapema.Mkuu unatumia kipimo na dalili gani kupata definitive diagnosis ya mimba ya wiki mbili?Hebu tupeane somo kwa faida ya wengi.
Kwanza dalili nyingi za mimba zinafanana na menstrual period ikivuka siku ambazo ulitarajia kupata hedhi lazima mtu atashtuka na kipimo cha pili ni pregnancy test kifaa kipo kinauzwa pharmacy vilevile process ya implantation inaanza siku ya kumi toka yai likutane na mbegu kunakuwa na maumivu ya tumbo na wakati mwingine damu hutoka kama matone kwa mwenye ufahamu anatambua mapema.
Na vipi mama akijifungua anatarajia tena kuanza mp baada ya muda gani?