Ana nini huyu Mke wangu?

Ana nini huyu Mke wangu?

Joined
Dec 21, 2022
Posts
66
Reaction score
167
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.

Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.

Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.

Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.

Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
 
Back
Top Bottom