Ana nini huyu Mke wangu?

Ana nini huyu Mke wangu?

Labda kazi za kulea kaona hataweza kufanya mwenyewe...
 
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.

Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.

Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.

Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.

Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
sasa ushauri wa nini hapo, fanya tu hicho kitu ili ajue nguvu yako
 
Wanaume wengi wanapata visukari sababu amri zao uchwara huwa zinapuuziwa 😒😒. Unataka umfanye nini by the way?
 
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.

Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.

Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa si
sijawahi kuona ujinga kama huu, yaani mwanamke kusafiri na mfanyakazi wake ndiyo imekuwa nongwa kwako wewe uliyeko mbali? Mbona huyo ni kama mwanafamilia tu na huwa tunasafiri nao ili angalau na wao waone wanathaminiwa.

Ulitaka amwache nyumbani mwenyewe unajua consequences zake?
 
Mke mvivu huyo. Beki tatu kwa ajili ya kusaidia majukumu ya watoto na shughuli ndogo ndogo ili ninyi muwe huru.
 
Ulivyosema nje ya nchi nikajua may be upo USA lakini kwa hayo mawazo ya utopolo km haupo Burundi basi upo Malawi...
 
Nipasie namba Ya Shemeji au Ya Huyo Mfanyakazi Wako Mtiifu Wa Kike Niwaongezee Pesa Ya Matumizi Kwa Ajili Ya Mizunguko Yao Mliyo Panga Kwa Pamoja Kama Hutojali London Boy.
 
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.

Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.

Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.

Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.

Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
kitu wanawake hawajui kuwa Beki tatu ni mke msaidizi kwao.jiongeze mkuu kama una hasira na mke wako
 
Hata kwenye maandiko beki 3 ni muhimu katika ustawi wa familia
 
Back
Top Bottom