Ana nini huyu Mke wangu?

Ana nini huyu Mke wangu?

Huyo mwanamke anataka kukuacha,sidhani kama unalolote kubwa la kumfanya
 
Miaka 8 kwa akili hiyo,inanifanya nisiamini,

Hiyo ni kesi ndogo sana,
Kwanza kwa usalama beki 3 kubaki peke yake kwenye Nyumba sio vizuri na sio salama,

Hii inaweza kabisa kua ni Chai Maziwa
Huu uzi ni 👇
Screenshot_20241216-075859.jpg
 
Wanaume wengi adult field tumeanzia kwa mabeki tatu awe wa kwenu au jirani
 
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.

Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.

Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.

Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.

Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
Mke asiye udhi huyo sio mke,yani yeye kukukera ndio raha yake....
 
Una element za uchoyo na ubaguzi na hilo hata mkeo kaliona, kwanini haujamuacha moja ya mtoto wako na iwe mfanya kazi wa ndani.
 
hivi wewe uko sawa kweli,au una shida ya afya akili?

ambo hilo ndio la kuleta hapa kweli, yaelekea hata kujamba mkeo umempa idadi ya kujamba kwa siku na asipotimiza utaleta hapa!
kwa povu hili nazima data na simu nazima
 
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.

Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.

Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.

Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.

Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
Ndyo walivyo hao wanajiamulia tu
 
Acha uvulana sasa Huyo beki tatu si akamsaidia akifika kwenu? Au unataka kummendea!
 
Mke
Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.

Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.

Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.

Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.

Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
Mkeo ana akili kubwa Sana kuliko wewe.Mfano mzuri hapa Tyr umeshaonesha unyanyapaa Kwa msaidizi wenu wa ndani Kwa kutaka abaki na pia wamuita Beki 3... Jitathimini Acha ubwege wewe umeoa mwanamke Mwenye akili na IQ kubwa kuliko wewe Mwenye akili kama Nyumbu 🤣🤣
 
Huyu beki tatu ni mpya wamekutana dar nilitaka amuache kwa mjomba na kila kitu nilishapanga na alisikia nikimwambia mjomba nia waende Arusha na Morogoro wakirud ndo wampitie waende nyumbani, kafanya tofauti anataka azunguke nae
Hilo halivumiliki😂. Dharau zinakuaga polepole.
 
Back
Top Bottom