Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi ni 👇Miaka 8 kwa akili hiyo,inanifanya nisiamini,
Hiyo ni kesi ndogo sana,
Kwanza kwa usalama beki 3 kubaki peke yake kwenye Nyumba sio vizuri na sio salama,
Hii inaweza kabisa kua ni Chai Maziwa
Mke asiye udhi huyo sio mke,yani yeye kukukera ndio raha yake....Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.
Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.
Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.
Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.
Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
kwa povu hili nazima data na simu nazimahivi wewe uko sawa kweli,au una shida ya afya akili?
ambo hilo ndio la kuleta hapa kweli, yaelekea hata kujamba mkeo umempa idadi ya kujamba kwa siku na asipotimiza utaleta hapa!
Ndyo walivyo hao wanajiamulia tuHabari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.
Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.
Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.
Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.
Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
Acha uvulana sasa Huyo beki tatu si akamsaidia akifika kwenu? Au unataka kummendea!Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.
Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.
Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.
Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.
Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
Huyu yupo kwenye kipindi kigumu kwenye kamatiKama wanaume wenyewe ndio hawa,. Taasisi ya ndoa acha iendelee kuwa majaribuni
Anajiendekeza sana huyu😂😂Huyu yupo kwenye kipindi kigumu kwenye kamati
MnoAnajiendekeza sana huyu😂😂
Mkeo ana akili kubwa Sana kuliko wewe.Mfano mzuri hapa Tyr umeshaonesha unyanyapaa Kwa msaidizi wenu wa ndani Kwa kutaka abaki na pia wamuita Beki 3... Jitathimini Acha ubwege wewe umeoa mwanamke Mwenye akili na IQ kubwa kuliko wewe Mwenye akili kama Nyumbu 🤣🤣Habari Zenu, tafadhali somo hapo juu lahusika.
Ni hivi, mimi na mke wangu tuko kwenye ndoa miaka 8 sasa, ila sasa hivi mimi nipo nje ya nchi yapata mwaka. Sas,a huwa tunawasiliana karibu kila siku, tatizo ni kwamba nikimpa maelekezo tunakubaliana vzr ila atafanya alivyoamua yeye.
Mfano, likizo hii ya Desemba nilimwambia asafiri na watoto tu, tukakubaliana… matokeo yake kabeba na beki tatu nimeshangaa kumuona kwenye bus video call.
Sasa nataka nifanye kitu ili ajue nguvu yangu.
Ushauri tafadhali, ana nini huyu?
Hilo halivumiliki😂. Dharau zinakuaga polepole.Huyu beki tatu ni mpya wamekutana dar nilitaka amuache kwa mjomba na kila kitu nilishapanga na alisikia nikimwambia mjomba nia waende Arusha na Morogoro wakirud ndo wampitie waende nyumbani, kafanya tofauti anataka azunguke nae